Makonda anataka mahubiri kilabuni

Mwanamkiwi

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
2,023
2,399
Nimependa habari hii:
Dar es Salaam RC gives greenlight to preach in night clubs
Naona nafasi nzuri!
Twende kilabuni, tumwambie mwenye baa salamu za Makonda,
(wanamwogopa, kumbuka: hakuna aliyekuwa tayari kuingia kwenye mnada wa kontena zake!)

Tumwambie tumekuja kuhubiri. SASA! Lakini tunaweza kuelewana: tunaweza kufupisha mahubiri kwa dakika chache - halafu vinywaji vyetu vyote bure! WIN-WIN!
Maonaje wadau?
 
Back
Top Bottom