hata wewe kama ni mbantu uko hivyo in one way or another labda umezidi au amekuzidi kidogo hata kama hautaki kuamini lkn outside world inakuona hivyo, sasa kama ni mazuri au siyo mazuri hilo utalijua wewe kama wewe ni homosexual lkn mimi nimeongela maumbile ya races mbalimbali …