GE2025 Makonda aeleza Schwarzenegger atakavyoinufaisha Arusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amefafanua namna ahadi yake ya kumleta Arnold Schwarzenegger jijini Arusha itakavyotimia na Arusha kunufaika.

Soma: Makonda: Nikishinda Ubunge ntamleta Schwarzenegger mwaka mpya Arusha

Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM) Dk Samia Suluhu Hassan hapa Karatu mkoani Arusha, Makonda amesema mpango huo upo kimkakati ukilenga kukuza zaidi utalii.
Your browser is not able to display this video.
 
Hahaha Marko Dudikofi na Mark Dakaskosi, Rambo na Vandame atawaleta lini? Mituni Chakalavat sijui Sunil Deo Babdeo Sulemani Khan nakumbuka alikuja ila sidhani km yeye ndie aliemleta Will Smith alikuja hakuletwa na yeye, fgfgfghfggyhh
 
Huyu ashukuru chadema hawajatia timu uwanjani, kamwe asingekuwa mbunge wa 'kuja' A town!!.
 
Wanaomjua na kumuelewa Arnold ni wa kitambo (Past Sell by Date) ni kama nikiwaongelea kina Lee Van Cliff au Humphrey Bogart, Naweza kusema huenda kwenye hili anajiletea yeye na sio Wana Arusha....

Hizo pesa bora angetengeza AI / Animation ya kina Simba, Mufasa, Nala, Scar, Rafiki na Pumbaa. Na kuwatembeza kitaa kama vile ambavyo Robot Eunice wa Nape kule Bungeni....

Hii nchi ni Tamthiliya tosha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…