MKuu Tel aviv hii hii ya Ben Gurion?
Wanajeshi waliouliwa Lebanon ni wachache sana, hawazidi elf 1Visasi mbona wanalipiza kila siku maiti za wanajeshi wa Israel zinaokotwa boda ya Lebanon.
Muisrael mweusi wa Mwabuki anatoa riporti ya vifo ya wanajeshi wa Israel😂Wanajeshi waliouliwa Lebanon ni wachache sana, hawazidi elf 1
Kwa upande wa Israel washaua Hezbollah wengi pamoja na viongozi wao, Leo wamepita na msemaji wao
Mwaka Israel inatamani hata kukimbia vita. Wanaogopa tu aibu. Israel inatandikwa kisawa sawa.Tuliambiwa Tel Aviv kuna mfumo wa ulinzi wa kisasa hata jiwe huwezi kurusha😂
Duh et mwabuki huenda wewe jamaa utajua unatokea mwabayandaMuisrael mweusi wa Mwabuki anatoa riporti ya vifo ya wanajeshi wa Israel😂
JF kuna vituko.
Na wewe ukaamini?Tuliambiwa Tel Aviv kuna mfumo wa ulinzi wa kisasa hata jiwe huwezi kurusha😂