Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Kumbe ni kweli Iran ina mpango wa kuifuta Israel kutoka kwenye ramani ya dunia!
Hapa nakupa Mkanda, Kuonesha njama za Iran kupeleka silaha za maangamizi Gaza
kwa ajili ya kuwamaliza waisrael jinsi zilivodhibitiwa na jeshi imara sana la wanamaji wa israel.

Last edited by a moderator: