Ni Mara chache Sana makocha kufundisha simba na yanga kwa nyakati tofauti Hawa ndiyo waliofanya hivyo
1. FADLU DAVIDS - Pekee wa kisasa
- SIMBA SC: Julai 5, 2024 - Rasmi alitangazwa na Mo Dewji. Aliongoza mechi 14, akafikisha fainali ya CAF Confederation Cup
- YANGA SC: Nov 7, 2026 (LEO) - Rasmi Yanga wamemtangaza "Karibu Young Africans SC, Fadlu Davids" kuchukua nafasi ya Manqoba Mngqithi
Yeye ndiye wa kwanza katika historia ya karibuni kufundisha zote mbili kwa mkataba rasmi.
2. HANS VAN DER PLUIJM (Mholanzi)
- Huyu ndiye legenda. Aliifundisha Yanga na kubeba ubingwa, na pia alifundisha Simba miaka ya 90s. Katika historia ya Tanzania ndiye anatajwa kama aliyeleta nidhamu ya kisasa.