habarini wana janvi kuna kitu huwa kinaniumiza sana kicha leo imebili nikilete hapa janvini
swali ninalo jiuliza kila siku ni kwamba
Organisation system software huwa zinatengenezewa language gani au ni mechanism gani is behind this maana inakuwa kama operating system ndani ya computer na ina hold many users just in one time without interfering of infos
habarini wana janvi kuna kitu huwa kinaniumiza sana kicha leo imebili nikilete hapa janvini swali ninalo jiuliza kila siku ni kwamba
Organisation system software huwa zinatengenezewa language gani au ni mechanism gani is behind this maana inakuwa kama operating system ndani ya computer na ina hold many users just in one time without interfering of infos
u can use OOP IN c++ ,c#, Java ,Python.PHP, Objective C ....etc .Its a methodology.
You can make software as well using database driven engines like Oracle using APEX
kAZi kwako choose a platform excel in it , dont look back!
:A S wink: