Nimeandika hii habari kama nilivyosikia. Kitu muhimu hapa ni kuchanganua hayo maneno yake na kuyaweka katika mtizamo halisi. Baada ya kufanya hivyo, kutokana na ufahamu wako wa hali halisi, utaona ukweli wa matamshi yake, ingawa labda yeye kimsingi alikuwa analenga kundi fulani.Yanatoka moyoni kwake au ni unafiki wakujikosha kwa watanzania? simuamini huyu Bo Kirobo wote wapo kwa ajili ya Maslai
Alikuwa anaongea kwenye kuvishwa nishani kwa maraisi wastaafu kwenye sherehe za miaka 50 ya Uhuru. Sijui kwa nini aliyaema hayo katika mahali hapo na shughuli hiyo.mkuu,
tufafanulie alikuwa anongelea hoja gani ya msingi (mada) iliyopekea kutoa lawama dhidi ya wanasiasa wadanganyifu?
ndio maana nampendaga saana huyu mama. huwa anafyatuka tu bila kujali ni wapi aongee nini na kwa wakati gani...Alikuwa anaongea kwenye kuvishwa nishani kwa maraisi wastaafu kwenye sherehe za miaka 50 ya Uhuru. Sijui kwa nini aliyaema hayo katika mahali hapo na shughuli hiyo.
kwani kuna ubaya au ksa gani kwa alilosema? kila alichosema ni ukweli mtupu. wametudanganya na mwisho wao ni 2015. kwa sasa tushawafahamu na hakuna namna watakayotudanganya tena. hatuwezi kuvumilia kuona wanavyoitumbua nchi ili hali sisi walipa kodi tukizidi kukondeana bila kitu.
ni muda muafaka sasa wa kufanya mabadiliko...asante mama kwa kuongea ukweli wa jinsi mnavyotudanganya na kwa kufahamu kuwa muda wenu wa kutudanganya sasa umefikia mwisho maana tumeshawashtukia.
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi, lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.
ndio maana nampendaga saana huyu mama. huwa anafyatuka tu bila kujali ni wapi aongee nini na kwa wakati gani...
Alikuwa anaongea kwenye kuvishwa nishani kwa maraisi wastaafu kwenye sherehe za miaka 50 ya Uhuru. Sijui kwa nini aliyaema hayo katika mahali hapo na shughuli hiyo.
Anataka uraisi?Anna Makinda said:Alikuwa anaongea kwenye kuvishwa nishani kwa maraisi wastaafu kwenye sherehe za miaka 50 ya Uhuru. Sijui kwa nini aliyaema hayo katika mahali hapo na shughuli hiyo.
Anataka uraisi?
Anamlenga nani?
Yuko kambi gani huyu mama?
Maybe tuanzie hapo...
Kuna mchangiaji aliyepita anaelekea kudai kuwa yuko kambi ya EL...
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi, lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.
Nimeandika hii habari kama nilivyosikia. Kitu muhimu hapa ni kuchanganua hayo maneno yake na kuyaweka katika mtizamo halisi. Baada ya kufanya hivyo, kutokana na ufahamu wako wa hali halisi, utaona ukweli wa matamshi yake, ingawa labda yeye kimsingi alikuwa analenga kundi fulani.