Nimetumiwa sms sasa hivi na mtu aliyepo Njombe kuwa katika uchaguzi wa vitongoji wilaya ya Makete CCM imeambulia kitongoji 1 na CHADEMA 46, ninaendelea kufuatilia uhakika wa habari hii na pia wale wenye taarifa ya kina wanaweza kutujulisha zaidi

wewe acha bana ! Habari nyingine hizi zitawafanywa wabadilishe mbinu za kutuua. Wataacha mabom ya mkono watutuvurumishie maskadi sasa. CDM ndo Habari YA mujini
Nimetumiwa sms sasa hivi na mtu aliyepo Njombe kuwa katika uchaguzi wa vitongoji wilaya ya Makete CCM imeambulia kitongoji 1 na CHADEMA 46, ninaendelea kufuatilia uhakika wa habari hii na pia wale wenye taarifa ya kina wanaweza kutujulisha zaidi
Nimetumiwa sms sasa hivi na mtu aliyepo Njombe kuwa katika uchaguzi wa vitongoji wilaya ya Makete CCM imeambulia kitongoji 1 na CHADEMA 46, ninaendelea kufuatilia uhakika wa habari hii na pia wale wenye taarifa ya kina wanaweza kutujulisha zaidi
yaliyotokea huko ndiyo yatakayotokea Arusha hata wahairishe mara kumi,kwa Arusha akuna atakaeiba kura tutawaomba wabunge wate wa chadema kuja kusimamia kura zinavyopingwa na katika kuesabu. sisi kama wapiga kura wala hatutaki kampeni tena.

Loh ccm wabaya wamefanikiwa kuiba hiyo moja, jinsi ninavyo jua CCM wasipo toa vitisho, hongo, na wizi. wana uhakika wa kupata zero bila changa. hili wanalijua vizuri sana
hapana ni wilaya jirani Filikunjombe ni Wilaya ya Ludewa ambako uchaguzi wa mwaka jana kulikuwa na uchaguzi wa udiwani kata moja CHADEMA nako walichukua kwa KISHINDO