public zungu
Member
- Oct 26, 2018
- 42
- 42
Unaanzaje kuliwa hela kabla ya kuila papuchi mkuu?Ndugu kwa kifupi nilifungua group LA WhatsApp LA wachumba members walikuwa wengi kiukweli nilitokea kumpenda Dada mmoja kiukweli alikuwa mrembo sana nilitumia uadmn kumremoved haukuchukua hata dakika alinifata inbox chanzo cha kumremoved nilimwambia Ukweli kuwa nimekupenda tukaanza kutumiana Picha kiukweli kila Picha aliyotuma ilinikosha roho .kuna siku alimwachia mdogo wake simu nilipiga alipokea yeye alijitambulisha anaitwa Doreen nilimuuliza swali MOJA nilivyopiga jina gani lilitokea ktk cm alijibu Ukweli Dada yke alinisave my husband nikamjb kuwa mm ni mume wake mtarajiwa ila anitumie zake zote kwani nilishaongea naye bila hiyani alianza kunitumia kwa njia ya WhatsApp sikuhamini kiukweli alikuwa
Mweusi wa ajabu mikwaruzo sijui ya kufumaniwa na mume za watu nilitumia akili nikamuomb afute chat tuliyochat tangu siku hiyo ukawa mwsho wa kumtafuta kinachoniuma alishanila km.elfu 50 kwa kwel makeup noma
Mbona inawezekana kabisa.Chai bila sukari
Hivi inawezekana mtu simu sio yake utoke ulikotoka eti mimi ni mume wa dada mtarajiwa ntumie picha za dada ako na yeye akatuma???
Labda huyo mdogo mtu ni kiazi kama wewe.
Usithubutu kukutwa na bwana pepsi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mmmh!
[emoji16][emoji16]Usithubutu kukutwa na bwana pepsi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu Leo hucomment mwendo wa emoji[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HIV wema sepetu hakikufat inbox ana shida ya laki hutashindwa kumtumia mwanamke anapokuwa mnzr sis njia za kifedha kumpataUnaanzaje kuliwa hela kabla ya kuila papuchi mkuu?
Najaribu kuipa haki yake keyboard, emoji huwa tunazisahau sanaMkuu Leo hucomment mwendo wa emoji
SahihishaKumremoved[emoji4][emoji4]
We si pochi Nene dingii asee ma menNdugu kwa kifupi nilifungua group LA WhatsApp LA wachumba members walikuwa wengi kiukweli nilitokea kumpenda Dada mmoja kiukweli alikuwa mrembo sana nilitumia uadmn kumremoved haukuchukua hata dakika alinifata inbox chanzo cha kumremoved nilimwambia Ukweli kuwa nimekupenda tukaanza kutumiana Picha kiukweli kila Picha aliyotuma ilinikosha roho .kuna siku alimwachia mdogo wake simu nilipiga alipokea yeye alijitambulisha anaitwa Doreen nilimuuliza swali MOJA nilivyopiga jina gani lilitokea ktk cm alijibu Ukweli Dada yke alinisave my husband nikamjb kuwa mm ni mume wake mtarajiwa ila anitumie zake zote kwani nilishaongea naye bila hiyani alianza kunitumia kwa njia ya WhatsApp sikuhamini kiukweli alikuwa
Mweusi wa ajabu mikwaruzo sijui ya kufumaniwa na mume za watu nilitumia akili nikamuomb afute chat tuliyochat tangu siku hiyo ukawa mwsho wa kumtafuta kinachoniuma alishanila km.elfu 50 kwa kwel makeup noma