Data charge ktk mitandao ya simu hapa Tz ni mojawapo ya njia au vyanzo vya mitandao kuwaibia wananchi hata kile kidogo walicho nacho. Mathalani, kwa siku ni watanzania wangapi hulalamika kukatwa pesa zao bila kupata huduma na wasirudishiwe. Kama watumiaj wa simu milion 1 watakatwa sh. 200, ambazo huwez kurudshiwa kwa vyovyote. Je kwa wiki itakuwa sh ngapi? Wana majibu rahis na wakat mwingine hukata simu. Hata hvyo hatuna mtaalamu anayetusimamia na kuhakiki uhalisia wa matumizi ya data zetu na fedha tunazolipia. Inasikitisha