Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,761
- 5,276
nyoooooo kiulaini ivo! siwangekuja na daladalaDemu wa kibongo, single, miaka 20 hadi 35.
Uwe Marekani. Dini hajalishi. Ni pm.
au aombe ile ya wakimbizi ile
weee! na ukimlala ndo imekula kwako! wakinogewa hawanaga aibu aisee!Kabisa afu wanaume bwana kuna mwingine kaoa mnugu kwa makaratasi si akamlala lol dada wa watu akashiba sasa vinamtokea puani kulea watoto na dada mwenyewe bangi tupu
weee! na ukimlala ndo imekula kwako! wakinogewa hawanaga aibu aisee!
u think so huhWhy you wanna?
I got what you need, and more...