T thebackbonet Member Joined Aug 13, 2017 Posts 19 Reaction score 1 Oct 5, 2017 #21 AKAN said: ushauri: wakishatoa majina ya watu waliokosea kufanya application ya loan basi wahi mapema ikiwezekana alfajiri kwa sababu watu ni wengi. Click to expand... Mkuu unatetesi zozote ili tukae tayar
AKAN said: ushauri: wakishatoa majina ya watu waliokosea kufanya application ya loan basi wahi mapema ikiwezekana alfajiri kwa sababu watu ni wengi. Click to expand... Mkuu unatetesi zozote ili tukae tayar
T thebackbonet Member Joined Aug 13, 2017 Posts 19 Reaction score 1 Oct 5, 2017 #22 Joel360 said: Asanteni kwa wote mliojitolea kunieleeza, nimeenda na kiukweli imeshindikana kwahiyo kuna uwezekano mdogo wangu akakosa mkopo. Click to expand... Imekuaje?
Joel360 said: Asanteni kwa wote mliojitolea kunieleeza, nimeenda na kiukweli imeshindikana kwahiyo kuna uwezekano mdogo wangu akakosa mkopo. Click to expand... Imekuaje?
ngebo JF-Expert Member Joined Sep 8, 2017 Posts 1,684 Reaction score 2,133 Oct 6, 2017 #23 Joel360 said: Asanteni kwa wote mliojitolea kunieleeza, nimeenda na kiukweli imeshindikana kwahiyo kuna uwezekano mdogo wangu akakosa mkopo. Click to expand... Duh wamekwambiaje
Joel360 said: Asanteni kwa wote mliojitolea kunieleeza, nimeenda na kiukweli imeshindikana kwahiyo kuna uwezekano mdogo wangu akakosa mkopo. Click to expand... Duh wamekwambiaje
J Joel360 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 986 Reaction score 657 Oct 6, 2017 Thread starter #24 ngebo said: Duh wamekwambiaje Click to expand... wamesema muda wa maombi umeisha kwahiyo hakuna namna wanaweza kunisaidia
ngebo said: Duh wamekwambiaje Click to expand... wamesema muda wa maombi umeisha kwahiyo hakuna namna wanaweza kunisaidia
ngebo JF-Expert Member Joined Sep 8, 2017 Posts 1,684 Reaction score 2,133 Oct 6, 2017 #25 Joel360 said: wamesema muda wa maombi umeisha kwahiyo hakuna namna wanaweza kunisaidia Click to expand... Sasa si wameshasema wanatoa majina ya waliokosea taarifa zao labda ndio maana wamekuacha , sababu watu 16000 wamekosea kujaza fomu
Joel360 said: wamesema muda wa maombi umeisha kwahiyo hakuna namna wanaweza kunisaidia Click to expand... Sasa si wameshasema wanatoa majina ya waliokosea taarifa zao labda ndio maana wamekuacha , sababu watu 16000 wamekosea kujaza fomu
J Joel360 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 986 Reaction score 657 Oct 6, 2017 Thread starter #26 ngebo said: Sasa si wameshasema wanatoa majina ya waliokosea taarifa zao labda ndio maana wamekuacha , sababu watu 16000 wamekosea kujaza fomu Click to expand... Kaka nimeuliza kuhusu hilo suala la kutoa majina nilichojibiwa nanukuu "Hiyo si guarantee, tunaweza tukatoa au tusitoe".
ngebo said: Sasa si wameshasema wanatoa majina ya waliokosea taarifa zao labda ndio maana wamekuacha , sababu watu 16000 wamekosea kujaza fomu Click to expand... Kaka nimeuliza kuhusu hilo suala la kutoa majina nilichojibiwa nanukuu "Hiyo si guarantee, tunaweza tukatoa au tusitoe".