Nashkuru sana ndugu yangu.We upo wap kwanza?? Anyway fika mawasiliano panda gari zinazoenda kawe, kuna kituo kinaitwa mpakan(MWENGE VINYAGO) utashuka hapo ,then vuka barabara utaliona jengo la HESLB..huez potea au ukifka hapo mpakan unaeza uliza then utaelekezwa zaid
Au kama unatokea makumbusho panda gari za mbez au hata za bgrn utashuka hapohapo mpakan!!!
Bugurun via Mandela road asijepanda yanayopita ilala bomaWe upo wap kwanza?? Anyway fika mawasiliano panda gari zinazoenda kawe, kuna kituo kinaitwa mpakan(MWENGE VINYAGO) utashuka hapo ,then vuka barabara utaliona jengo la HESLB..huez potea au ukifka hapo mpakan unaeza uliza then utaelekezwa zaid
Au kama unatokea makumbusho panda gari za mbez au hata za bgrn utashuka hapohapo mpakan!!!
Nadhani ni kifupi cha registration insolvency and trustesheep agency ( samahani kama nimekosea spelling) inahusika na huduma za usajili, udhamini na ufilisi! Watakuja wengine kuongezeaWadau naomba kujua hii RITA inamaan gan au nini haswa??
Inahusika na Usajili wa uzazi na vifoWadau naomba kujua hii RITA inamaan gan au nini haswa??
Mwenge karibu na kijiji cha vinyago. DarNdugu zangu nina tatizo moja ambalo katika maombi yangu ya mkopo ambapo nimeshauriwa njia nzuri ya kulitatua ni kwenda makao makuu ya HESLB.
Tatizo lenyewe ni kwamba nilituma cheti ambacho hakikuhakikiwa na RITA.
Sasa naomba kujuzwa makao makuu ya HESLB yako wapi hapa Dar es salaam?
Natanguliza shukrani!
Unataka kumteka jamaaBugurun via Mandela road asijepanda yanayopita ilala boma