Wakubwa kwa hali ilivo sasa hivi me nasapoti hii ki2 kwa asiliamia 200, ikiwezekana makanisa yafungwe vifaa maalum vya ku-detect silaa, coz kuna uwezekano kabisa sasa hivi 2kasikia kuna m2 kajitoa muhanga siku ya ibada katika kanisa fulani. Kiujumla serikali inatakiwa ifanye kila inachoweza kuhakikisha amani ya nchi inabaki kama ilivo, 2siangalie makanisa 2 coz M23 walisha2piga biti kwa hiyo kuna uwezekano na wenyewe ndo wanataka ku2vunjia amani kwa njia izo...