Makanisa fursa mpya kwa mabaharia! Lot of free girls!

Hana kosa, mfn nimekwambia ukaibe, ukakamatwa, nani atakuwa na kosa?
Kwahiyo unataka kusema hata shetani naye anavyotufanya wanadamu tutende dhambi yeye hana dhambi na mwisho wa siku ataenda mbinguni si ndiyo??

Unasema huyo mwanaume hana kosa kwani hajui kwamba anachokifanya siyo kizuri na wewe nijibu kwanini mwanaume aombe na kama hana kosa elezea kwanini unasema hana kosa??
 
Umeua mkuu, ndo maana nasema usiwaone hao wanawake wapo desparate sana kuolewa, unaweza kuingiza timu ukapewa za uso vilevile au mkakaa naye miezi 3 akachomoa betri kwamba hamuendani naye, mara zote kuwa makini na mwanamke usimchukulie poa kihivyo.
True
 
kutoka upepo wa kisurisuri og bila kumuangalia sura nimemchagua huyu anitafute kama anapitia humu au yeyete anaye mfahamu amtaarifu.
5D6ED38E-AF36-4A9F-871A-67C1C312C570.jpeg

Baharia chagua na wewe wako hapa,
 
Tatizo la hao madada wengi wao unakuta walishafanya sana umalaya maishani mwao kama vile mademu wa bongo movie ama wahaya wa hapa mjini. Sasa maisha yamewapiga chenga wanakimbilia makanisani kutafuta mafala wa kuwatunza. Binafsi sina mapenzi na mademu wa kanisani nawaona sawa na wachagga tu ama wapare.
Mbona mkuu unadhalilisha makabila ya wenzako?
 
Aisee
Tatizo la hao madada wengi wao unakuta walishafanya sana umalaya maishani mwao kama vile mademu wa bongo movie ama wahaya wa hapa mjini. Sasa maisha yamewapiga chenga wanakimbilia makanisani kutafuta mafala wa kuwatunza. Binafsi sina mapenzi na mademu wa kanisani nawaona sawa na wachagga tu ama wapare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom