Makanisa fursa mpya kwa mabaharia! Lot of free girls!

Tatizo wanaringa sana bila kujua kila mwaka ingizo jipya laingia mjini.
Soon fForm Four haooo mtaani. Mwanamke ukifikisha 25 hujaolewa sahau
 
Hata huko kuna Uwata yani kanisani kuna watoto wazuri hatari siku hizi sikosi kanisani kila jumapili..kanisani ni muhimu sana haswa ukiwa hujaoa
Wengine wazuri lakini ukitaka kuongea nae ni shider sana. Mama ni mwenyekiti wa WAWATA na Baba ni mzee wa kanisa. Wambea wa kupeleka habari ni wengi sana.
 
Wengine wazuri lakini ukitaka kuongea nae ni shider sana. Mama ni mwenyekiti wa WAWATA na Baba ni mzee wa kanisa. Wambea wa kupeleka habari ni wengi sana.
Cha muhimu ni kupata tarakimu zake, juzi nimeona mtoto mmoja yupo vizuri hatari sema kuna mmama alikua ananitolea macho vibaya mno, niliishia kugeuza shingo kila nikigeuka yule mama ananitolea macho daah...
 
Huyo atakua shangazi au mtoto wa shost yake.
 
Tatizo wanaringa sana bila kujua kila mwaka ingizo jipya laingia mjini.
Soon fForm Four haooo mtaani. Mwanamke ukifikisha 25 hujaolewa sahau
Ifike muda tuache kuishi kwenye dunia ya kufikirika tuje kwenye uhalisia!! Hao wanawake unaowasema wewe ambao wakifikisha miaka 25 hawajaolewa wasahau ni wanawake wa dunia gani??
 
Hii hoja ipelekwe bungeni Ka makanisa hayataki.
Yaani wachungaji wanajifanya kukomaa watu wawe na ndoa moja halafu wanaombea wadada wapate waume, watawapata wapi wkt wanaume tupo few?
Tatizo siyo ndoa, tatizo yule unayetaka kuishi naye. Je, yupo tayari? Kuna watu wameoana lakini ndoa zao hazijadumu hata mwaka wakaachana. Kuoa siyo ngono. Kuoa ni zaidi hata vile ujuavyo. Mbona wenzao wameolewa? yeye anashindwa nini? Wengi wa wanawake hapo wanabagua yaani wanataka mtu aliyejijenga tayari. Hao wote siyo bikira. Je, waliowatoa bikira wapo wapi? Kuna sababu nyingi nzuri zinazomfanya mwanamke aolewe. Watu mambo yao yakiwashinda ndiyo wanakimbilia kwenye makanisa kutafuta faraja. Nikimuona mwanamke anatafuta mwanaume kwa nguvu amuoe, huyo ni wa kukimbia sababu ndoa hutokea yenyewe. Mnakutana, mnapendana na kisha mnaoana.
 
Cha muhimu ni kupata tarakimu zake, juzi nimeona mtoto mmoja yupo vizuri hatari sema kuna mmama alikua ananitolea macho vibaya mno, niliishia kugeuza shingo kila nikigeuka yule mama ananitolea macho daah...
Nimecheka balaaa! Mama kawa mlinzi
 
Upepo wa kisulisuli
IMG-20191016-WA0008.jpeg
 
Back
Top Bottom