Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
Pia unaweza ukaweka Oyster sauce kidogo inaongeza ladha vizuri.kitalembwa aliombaa hii
Kwanza muandae kuku wako au samaki vizuri mimi nilipata kuku wa kisasa nika mkata nusu kama hivi
View attachment 3244235
Kwanza nilimuwekea viungo
Food color
Tangawizi ya kusagwa na chumvi
View attachment 3244236
Nimamuacha kama lisaa hivi ili viungo vikolee nikaendelea na mambo mengine
Baada ya kulizika na mda na kuona kuki viungo vimekolea nikaanza kuweka mafuta kwenye sufuria baada ya kupata moto nikamuweka kuku wangu kumkaanga
View attachment 3244239
Baada ya kuona kuku amekaangika vizuri
View attachment 3244244
Baada ya hpo nikachukua vitunguu vyangu ambavyo nilivikata vizuri tu nikaweka
View attachment 3244245
Vitunguu viziungue vilegee tu kama hivi usilazimieshe mpaka vibadilike rangi itakuwa mbaya
View attachment 3244247
Nilipo lizika na uivaji wa kitunguu nikaamua kuweka hoho nilikata kwa style ya kusimama
View attachment 3244249
Baada ya hpo nikaweka karoti
View attachment 3244252
Ili ukate karot stlye hii lazima karot yako uilaze hivi na usiisimamishe
View attachment 3244253
Baada ya hapo nikaweka nyanya kidogo tu wengine wana tumia tomato past mm siipend naon ina utamu utamu so nilisaga nyanya kidog tu moja tu niliisaga wengine hawaweki kabisa nyany ni wewe na mapenzi yako mimi nilipenda hivi
View attachment 3244255
Nika koroga ili mchanganyiko uwe mzuri zaidi
View attachment 3244257
Na makange yangu yangubyalikuwa hivyo kuku ni mtamu sana unaweza ukalia chips ndizi Half american napenda sana ndizi 😂 au ugali chakula chochote kile na mlo wakonukawa mzuri sana
Dume la kinyakyusa hilo. Safi sana.WW ni ME au KE?
Kama wakienyeji anza kumchemsha kwengine wanakuwa wagumu labda kama utachinja kuku ambaye hajawai kabisa kutagaSafi sana, ntachinja kuku wangu nimtengeneze makange,maana mama yoyoo hayupo
Hapana mm napenda sanaMnadharau sana vyakula.
Kabisa bos 🫡Pia unaweza ukaweka Oyster sauce kidogo inaongeza ladha vizuri.
Dume la kinyakyusa hilo. Safi sana.
Kama kuku wa kienyeji nashuari mchemshe kwanza wengine wagumu kuiva ndipo umkaange au undelee na procedureHili pishi nalichukua lilivyo ndio dinner ya nyumbani kwangu Leo. Kuku wa kienyeji itaenda na chips kavu na baba watoto ataila na ugali wa muhogo
Naoa mwezi ujao 😂Hapa hakuna kuoa kumbe ndio maana u mwenyekiti wa kataa ndoa mkuu maana sio kwa kupika huko mwanaume😀😀😀😀
Hayo makange nikiyahitaji naenda sokoni au dukaniNdio inatwa makange
Ahaha kaka ujaelewa bado hapo 😂Hayo makange nikiyahitaji naenda sokoni au dukani
Hajaoa huyu hebu ingia kwenye mfungo wa siku 21🤣🤣Ile yenye unga halafu milaini na kapilipili kwa mbaaali kwenye kuku nyieeee🤗🤗🤗🤗 hivi huyu mpishi kaoa kweli?
Hili neno ni jipya kwangu sasa najitahidi nione kitu kipya kwenye mboga lakini sioniAhaha kaka ujaelewa bado hapo 😂
Kuku ni wa hapa nyumbani nachagua ambae Bado mtetea mlaini mpaka mifupa yake.Kama kuku wa kienyeji nashuari mchemshe kwanza wengine wagumu kuiva ndipo umkaange au undelee na procedure
Ni mboga ambayo wameamua kuiita ivyoHili neno ni jipya kwangu sasa najitahidi nione kitu kipya kwenye mboga lakini sioni
Hapa nilisinzia nimeoneshwa ndotoni yeye ndo wamaisha🤗🤗🤗🤗🤗🤗Hajaoa huyu hebu ingia kwenye mfungo wa siku 21🤣🤣
Ukishushia na Ugali mkubwa wa moto mambo yanakuwa safi kabisakitalembwa aliombaa hii
Kwanza muandae kuku wako au samaki vizuri mimi nilipata kuku wa kisasa nika mkata nusu kama hivi
View attachment 3244235
Kwanza nilimuwekea viungo
Food color
Tangawizi ya kusagwa na chumvi
View attachment 3244236
Nimamuacha kama lisaa hivi ili viungo vikolee nikaendelea na mambo mengine
Baada ya kulizika na mda na kuona kuki viungo vimekolea nikaanza kuweka mafuta kwenye sufuria baada ya kupata moto nikamuweka kuku wangu kumkaanga
View attachment 3244239
Baada ya kuona kuku amekaangika vizuri
View attachment 3244244
Baada ya hpo nikachukua vitunguu vyangu ambavyo nilivikata vizuri tu nikaweka
View attachment 3244245
Vitunguu viziungue vilegee tu kama hivi usilazimieshe mpaka vibadilike rangi itakuwa mbaya
View attachment 3244247
Nilipo lizika na uivaji wa kitunguu nikaamua kuweka hoho nilikata kwa style ya kusimama
View attachment 3244249
Baada ya hpo nikaweka karoti
View attachment 3244252
Ili ukate karot stlye hii lazima karot yako uilaze hivi na usiisimamishe
View attachment 3244253
Baada ya hapo nikaweka nyanya kidogo tu wengine wana tumia tomato past mm siipend naon ina utamu utamu so nilisaga nyanya kidog tu moja tu niliisaga wengine hawaweki kabisa nyany ni wewe na mapenzi yako mimi nilipenda hivi
View attachment 3244255
Nika koroga ili mchanganyiko uwe mzuri zaidi
View attachment 3244257
Na makange yangu yangubyalikuwa hivyo kuku ni mtamu sana unaweza ukalia chips ndizi Half american napenda sana ndizi 😂 au ugali chakula chochote kile na mlo wakonukawa mzuri sana
Food colour kubadirisha rangi ya chakula onlyMakange ni nini?
Asili yake ni wapi!
Ni nini kazi ya hiyo Food colour
Kabisa mkuuUkishushia na Ugali mkubwa wa moto mambo yanakuwa safi kabisa
Yaani kuku mwekundu unambadili rangi awe mwekunduFood colour kubadirisha rangi ya chakula only