Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,376
Mapema tu😍😋 kiti cha mbele nasubiri kuonjeshwa.
Maisha mafupi sanaweka na safari ya baridi hapo
duniani humimu kunywa na kula mbinguni hakuna msos wala beer
WW ni ME au KE?kitalembwa aliombaa hii
Kwanza muandae kuku wako au samaki vizuri mimi nilipata kuku wa kisasa nika mkata nusu kama hivi
View attachment 3244235
Kwanza nilimuwekea viungo
Food color
Tangawizi ya kusagwa na chumvi
View attachment 3244236
Nimamuacha kama lisaa hivi ili viungo vikolee nikaendelea na mambo mengine
Baada ya kulizika na mda na kuona kuki viungo vimekolea nikaanza kuweka mafuta kwenye sufuria baada ya kupata moto nikamuweka kuku wangu kumkaanga
View attachment 3244239
Baada ya kuona kuku amekaangika vizuri
View attachment 3244244
Baada ya hpo nikachukua vitunguu vyangu ambavyo nilivikata vizuri tu nikaweka
View attachment 3244245
Vitunguu viziungue vilegee tu kama hivi usilazimieshe mpaka vibadilike rangi itakuwa mbaya
View attachment 3244247
Nilipo lizika na uivaji wa kitunguu nikaamua kuweka hoho nilikata kwa style ya kusimama
View attachment 3244249
Baada ya hpo nikaweka karoti
View attachment 3244252
Ili ukate karot stlye hii lazima karot yako uilaze hivi na usiisimamishe
View attachment 3244253
Baada ya hapo nikaweka nyanya kidogo tu wengine wana tumia tomato past mm siipend naon ina utamu utamu so nilisaga nyanya kidog tu moja tu niliisaga wengine hawaweki kabisa nyany ni wewe na mapenzi yako mimi nilipenda hivi
View attachment 3244255
Nika koroga ili mchanganyiko uwe mzuri zaidi
View attachment 3244257
Na makange yangu yangubyalikuwa hivyo kuku ni mtamu sana unaweza ukalia chips ndizi Half american napenda sana ndizi 😂 au ugali chakula chochote kile na mlo wakonukawa mzuri sana
Hapa na NJAA sijala toka asubuh mpakakitalembwa aliombaa hii

Umesoma vibaya mkuu makange sio makande🤣🤣hii ni dharau hakianan! Makande yaliumbwa kwaajili ya maharage
Unakula mpaka unasahua viatu 😂Hapo upate Kiugali laini cha motomoto!
Umejitakia wewe 😂 si mke unaeHapa na NJAA sijala toka asubuh mpaka
Kwa nini unauliza?WW ni ME au KE?
HatariUnakula mpaka unasahua viatu 😂
🍺 🍻weka na safari ya baridi hapo
duniani humimu kunywa na kula mbinguni hakuna msos wala beer
Nipo mishe mishe mzee si unajua mission town.Umejitakia wewe 😂 si mke unae
au mihogo😅Hapo upate Kiugali laini cha motomoto!
Ukirud unakuta ushapikiwa boss ni wewe tuNipo mishe mishe mzee si unajua mission town.
Ujaachana nayo badoau mihogo😅