Makamu wetu wa Rais Super Duppa!

bora huyu wa sasa anakula shavu la kukwea pipa yule mwenzie alikua wa kutembea na mikasi.

afu hako ka binti ka kizungu mbona kama kacheza masumbwi? au ni ka mwana usalama?
 
Waungwana, naomba ambaye angalau ameelewa kidogo kuhusu hili bandiko anifafanulie. Maana binafsi naona picha tu bila maelezo kwamba Makamu yupo wapi , anafanya nini.
Vile vile mnifafanulie kama nanyi mnafahamu maana ya neno Duppa.
 
Sijaona lolote la ajabu kwa huyu mama
 
Kuwafanyia tu umafia wazanzibari kuhusu katiba ya walioba ndo anafaa kuwa rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…