Acha utani mkuuToo cheap to buy....
Mty makini kwa Urais ni Majaliwa.
Huyo ndio mwenye kiwandaVP ana bodyguard mzungu??
Why not? Mbona dharau.Eti president in waiting ! Wonders shall never cease.
Why not? Mbona dharau.
Owiiiii!Too cheap to buy....
Mty makini kwa Urais ni Majaliwa.
janamsafara wake umepata ajali naona mnajitahidi kumuondoa ili ile siri ya kujiuzuru isisanukePresident in waiting 2025-2035!
![]()
Tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda!
![]()
![]()
![]()
Fanyeni kazi vijana, akisisititza!
![]()
Akiskiliza kwa makini sana!
![]()
(Picha zote kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!)
Nimecheka mpaka basTatizo la huyu Mama hana zile hotuba za kutoka Moyoni Kama za Baba Ubaya ndo maana Hana hotuba za kusisimua!