Makamu wa Rais wa Zamani wa Marekeni pamoja na magenge ya wahuni wataka 'Tarrif Man' Trump kung'olewa madarakani

Ishu ya Clinton ya kutoka kimapenzi na Monica Lewisky wengi humu walikuwa hawajazaliwa na wengine walikuwa watoto sana. Hahahhaaha
 
Duuh
 
Hakuna mwenye hoja za msingi za kumuondoa Trump Madarakani hoja zote naona kama zakuokotezea, ni kijikundi tu cha wauza madawa ya kulevya wanaotaka kumwondoa Trump madarakani
 
Amekubali kosa lipi hadharani?,Transcript ilishatoka yote un deducted na wameisoma,na bado hawajaona pa kumkamatia.Hakuna foreign influence mnayodai nyie,ilikuwa ni maongezi ya kawaida sana,tena hadi Attorney General alitajwa.Kama ingekuwa ni blackmail asingeweza muingiza AG hata siku moja,Rais wa Ukraine mwenyewe anashanga,hayo yote Maliberals mnatoa wapi..Trump mnamuongezea umaarufu tu,Trust me.
 
Mleta maada ni mke wa trump hivo mleta maada anamtetea mume wake anaemtindua
 
 

Hii issue imejaa siasa, huyu shushu alishawahi kufanya kazi na Biden. Kuna jambo nyuma yake, Democratic wnahisi walinyanganywa Kiti cha urais na jinsi Trump alivyo vijineno nya kuwaumiza wanatamani kumtoa kwa sababu mwakani hawatamweza. Kwa sababu zifuatazo
1. Kainua uchumi
2. Ndiye Rais aliyejaribu kuigusa China panapotakiwa
3. Makampuni mengi yanarudi nyumbani ajira zinaongezeka
4. Soko lao lilivamiwa na Mchina sasa wamarikani wana fursa ya kujaza hizo bidhaa wao wenyewe
5 N.k
 
Naona una simplify sana Kama mlivyozoea ku simplify ki CCM, CCM tu, Pole Sana hiyo ni America, Siyo Tanzania kwa majuha
 
Huna unachokielewa ambacho mimi sikielewi.

Kwa akili yako mtu akishakua shushushu basi huyo ni exceptional, huwezi kuhoji anachokisema, sio? Akili ndogo kabisa hizi.
Mkuu Hii fani haikuhusu kabisa umeivamia tu, tatizo lako Unadhani Marekani ni Kama Tanzania ya majuha ndo maana unasema ni wavuta bangi, kwa kukusaidia tu ni kwamba, Marekani ni taifa la watu wenye weledi, (akili nyingi mno) wakati Tanzania yako ni taifa la mambumbumbu ya kutupwa.
Nadhani wewe uko CCM, chama cha majuha, kazi yenu ni kumsifia malaika wa Chato ndo maana unashangaa kuona Trump anakuwa impeached, Siyo kupinduliwa, nikupe pole, umevamia fani za watu
 

Acha vijineno kama Trump, leta hoja iliyoshiba
 
Ni impeachment siyo kumpindua. Kama una mahaba niue sawa, lakini usigeuze maneno na kuweka vipropaganda. Mambo yaliyotokea na aliyokiri mwenyewe si siri hata kidogo. Labda kama umetumwa. Pia, No amount of evidence will convince an idiot. - Mark Twain.
 
Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Bw. Joe Biden akishirikiana na magenge ya wahuni na wavuta bangi ????
Hivi unajua unachokiongelea???
 
Hamna kitu hapo ni siasa tu hizo kama wanazofanyiwa akina Mbowe hapa, hao Democrats wameona maji marefu. However, the strategy will turn out to be a Dog's Dinner.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…