Bahati mbaya TANESCO walichukua umeme wakati mjadala unaendelea ila namkubali sana Makamu mkuu wa chuo cha SAUTI kwani mara kwa mara akiitwa na STAR TV amekuwa na michango muhimu ya kujenga taifa
Anasema Nyerere alikuwa na madaraka makubwa na alipenda madaraka hayo ili kuendeleza nchi,si kama viongozi wa sasa wana madaraka makubwa na wanayatumia vibaya
'Aliiendeleza nchi kiitikadi lakini kiuchumi na maendeleo ya kaya alituachia ufukara wa kufuru, kiasi cha watu kufikia hatua hata kukosa sababu ya kuogea ama kufulia, na anayeonekana kavaa kaniki ama nguo za rangi ya kuchovya - tie- and dye alionekana ni kibopa.