Makampuni ya Simu za mkono na DSE

Manta

Member
Jun 4, 2008
45
3

Kuna hoja kwamba kulazimisha makampuni ya simu za mikononi kuingia kwenye soko huruzi (DSE) ni kuingilia maamuzi ya makampuni binafsi na inapunguza ushindani wa kibiashara. Kwa maoni yangu hoja hii haina nguvu kwani makampuni haya yanauza shares zoa kwa masoko huzia ya nje.
Nafikiri uamuzi huu umekuja wakati muafaka kwani baishara ya simu za mikoni in faida kubwa and it is high time watanzania wapate nafasi ya kununua shares za haya mashirika. Serikali ya Kenya wamejipanga vizuri kwani wana share kubwa Safaricom na wanapata faida kubwa kwani Saficom ni kama mgodi wa dhahabu. Serikali ya bongo ingetakiwa kuiga jamaa zetu wa Kenya kwa sala hili. Penging mswada huu wa sheria ya simu kulazimishwa kuuza share DSE ni kurekebisha mapungufu yaliyofanya na serikali katika swala zima la mawasiliano ya simu. Kwa hili, Bravo wabunge wetu.
 
Technically kushare infrastructure has a lot of technicl merit,new companes can focus on expansion and service instead of polluting the country with underused equipments & installations.

imagine if every TV network had to have it's own set of TV,kila nyumba would probably have 5 TV sets while only one is needed.

Kwa capacity ya tanzania Infrastructure zilizopo zinatosha kuhudumia Watanzania woote,TTCL,TRC wana ma-optical Fiber lukuki.,haiingii akilini Vodacom,or sasatel kutandaza Optical fibers nyingine,BUT SASATEL or VODACOM could create state of the art DATA CENTERS that TTCL and TRC could share..,this is the spirit behind Infrastructure sharing..,it is very common and a very effective way to cut costs,and optimise services..,i could write a 500 pages paper to explain this in detail,but i hope these two pages opened your eyes.

Kuhusu ku-list shares DSE that is just one step,they should take even more strong steps to secure outflow of investment,Mfano nchi nyingi za ASIA,ili ufanye investment locally unatakiwa utafute shareholder(s) ambaye ni mzawa,na yeye/wao awe na 51% of the shares.then that is when you can invest..ukikosa huyu investor mwenye uwezo wa kudeliver 51% their government(s) will be more than happy to give you a long list of companies you can choose from(80% of them are owned by their government organs through proxy ownerships and holdings)

Kama hutaki then your company will be treated as a wholly owned foregn company,and TRUST ME,KODI NA USUMBUFU WA KUFANYA BIASHARA JUST TO MAINTAIN 100% wholly foreign company status utajuta kuchukua uamuzi huo!

always the cheapest,most efficient way to go is the shareholding one..,na hilo halijazuia makampuni ya nje kuinvest in ASIA.na ndio sababu the higher the investment the better the economies in South east ASIA.wakati africa ni yale yale tu.

Kama kampuni imeona Potential in our country shareholding will not stop it to do business,moreover ita-eliminate dad&mum companies posing as investors..,with such a law i do not expect a Chinese machinga!it is going to be better for them to just stay in their country,right now we have a safer,profiatble environment for Chinese&other foreigners than they could ever dream of in their own countries..,i find this EXTREMELY RIDICULOUS.
 
Sijaona ubaya wa kulist kampuni za simu katika stock market itasaidia kukuzisha uchumi na kuboresha ufanisi wa kampuni na kuondoa mafisadi waliojificha katika kampuni za simu mfano Vodacom na Zain
 
Mdondo

Hoja wanazotowa kina Vodacom Zain n.k ni kwamba kulazimishwa kujiunga DSE ni kuingilia biashara huria kwa sababu wao ni private companies. Kwa upande mwingine haya makumpuni yanauza shares masoka mengine nje ya nchi. The bottom line wanataka kuchuma tuu huku bongo na kuendelea kutajirisha watu wachache walioko kwenye nafasi za influence.

Nakubaliana na Kimweri kuhusu shareholding policy ya makusudi kusadia wazawa kumuliki njia kuu za uchumi. Kama Asia wameweza kwa nini sisi tusiweze. It is pity this was never introduced during the privatization process, perhaps some leaders intended it to be that way because they pocked 10%.
Bravo bunge kulazimisha makampuni ya simu kuuza shares DSE
 
Waache washee, haya makampuni yamekuwa yakipata faida kubwa sana merejesho yake kwa jamii ni kiduchu mno. Asilimia kubwa ya faida inanufaisha home country ya kampuni husika.
 

A bit old news but informative.... interesting to note that managers of the mobile phones companies were lobbying to block the bill. I mean they made profit for some years and they don't want to float shares for wabongo to invest into?



 
Could this be a windfall in earnings .... or recipe for disaster in telecom industry?....

Good news is there good numbers of share holders in telecoms companies ready to sell shares in the stock market, hence good news for individual investors interested to buy shares at DSE.


 
Frost prediction / forecast on telecom growth in East Africa....

 
Forced listing is doing a right thing in a wrong way. You create incentives to list and not forcing an individual to sell his property. The right to own property is protected by constitution.

By the way what listing? It is simply raising money from the bourse. So want these people to raise money from DSE while they dont want it?

Bunge is so anti business and Ujamaa bado umetukaa.

We must increase capitalisation of our bourse, but through a proper way. Why are they not forcing mining companies to list?

Tanzania ina vijimambo. Umeona sasa kuna watu walitaka kupata dili la kuuza hisa zao ili wanywe hela tena uchaguzi unakaribia. Tunawapa watu pesa kilaini kabisa kwa kuwapa soko la lazima la hisa zao wanazoshika Voda etc
 
Kwa nini TTCL hawataki kujitangaza kwa nguvu kama mashirika mengine ya simu yafanyavyo katika kuuzahuduma zao hasa kwenye simu za mkononi. Nadhani tuwe waangalifu isije ikawa kuna fisadi ndani ya TTCL anayepata 10% kuzuia jitihada za kiushindani. Watanzania Tuamke!
 
Haya tena naona echo za 1967 na ignorant masses wakitoa support ya nguvu bila kujua conseq'ses zake,hivi wabongo mtaacha lini huu upuuzi wa ant business,ant immigration(EA & dual citz na chuki kwa wageni inatisha),ant governmts(maana kila anachofanya JK hata kama ni kusomesha watoto wenu nyie ni kuponda tuu) bila kusahau udini,watu wamekalia rushwa,uvivu,majungu tuu na unknown fantasies huku njaa ikiwamaliza na nchi ikiteketea,cha ajabu uchaguzi ukifika wanauza kura zao kwa debe la pombe huku wengine wanajifanya wazalendo lakini ndio watoaji na wapokea rushwa wakubwa.
 

..who cares,wakifa acha wafe makampuni mengine yatakuja tuu.
 
Ukisoma Uchumi,accounts au finance,wanasema moja ya sababu (demerits)ya kutofloat katika
any stock exchange ni transparency!!!Kwa sababu mahesabu yako(B/sheet,I/stat. etc)utabidi uyaweke wazi kuonyesha directors,investors,shareholders etc.

Kwa Tanzania utakuwa umeweka wazi kila kitu ambapo maovu yamefichwa humo.UFISADI
 
Hivi kuna anayejua hili limeishia vipi? Zitto au mbunge yeyote?
 
Last edited by a moderator:
Kuna mambo yanaishia juu kwa juu maana daima sisi ni watu wa matukio!!!
 
LISTED COMPANIES



S/N

Company Name
Symbol
Issued Shares
1.
Tol Gases Limited

TOL
42,472,537
2.
Tanzania Breweries Limited

TBL
294,928,463
3.
Tanzania Tea Packers Limited

TATEPA
17,857,165
4.
Tanzania Cigarrete Company Limited

TCC
100,000,000
5.
Tanga Cement Company Limited

SIMBA
63,671,045
6.
Swissport Tanzania Limited

SWISSPORT
36,000,000
7.
Tanzania Portland Cement Company Limited

TWIGA
179,923,100
8.
Dar Es Salaam Community Bank

DCB
32,393,236
9.
National Microfinace Bank Plc

NMB
500,000,000
10.
Kenya Airways Limited

KA
461,615,484
11.
East African Breweries Limited

EABL
658,978,630
12.
Jubilee Holdings Limited

JHL
36,000,000
13.
Kenya Commercial Bank Limited

KCB
2,950,169,143
14.
CRDB Bank Public Limited Company

CRDB
2,176,532,160
15.
Nation Media Group Limited

NMG
157,118,572
16.
AFRICAN BARRICK GOLD PLC
ABG


410,085,499
17.
Precision Air Services PLC
PAL
 
Hilo ndilo lilimtoa Prof Msola,kwenye uwaziri wake!maana alilikomalia sana akiwa mzalendo wa kweli!lakini mafisadi wakamgeuzia kibao akaonekana msaliti!sasa anajuta kujifanya mzalendo wa kweli!
 
Hilo ndilo lilimtoa Prof Msola,kwenye uwaziri wake!maana alilikomalia sana akiwa mzalendo wa kweli!lakini mafisadi wakamgeuzia kibao akaonekana msaliti!sasa anajuta kujifanya mzalendo wa kweli!

Mkuu nina kiu sana kujua lilikufaje hili,Si mswada ulipita huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…