Wewe ndo huna akili, kwa Sisi wafanyabiashara hivyo vifushi vinasaidia Sana mfano kwenye mashine za kutolea risiti. Nikiweka buku natumia miezi mitatu ndo naweka tena.1000Tsh=250MB/180Days
katika akili ya kawaida, unaaweza kukaa na MB 250 kwa siku 180?
Majizi kuwafanya watu mazezeka can not intergrate and differentiate things
ok.🐒1000Tsh=250MB/180Days
katika akili ya kawaida, unaaweza kukaa na MB 250 kwa siku 180?
Majizi kuwafanya watu mazezeka can not intergrate and differentiate things
Baba yako ndiye hana akiliWewe ndo huna akili, kwa Sisi wafanyabiashara hivyo vifushi vinasaidia Sana mfano kwenye mashine za kutolea risiti. Nikiweka buku natumia miezi mitatu ndo naweka tena.
Pumbavu wafanya biashara ni very small population users of viwango hivyo. Hivyo ji kwa ajili ya watu wa chini....Wewe ndo huna akili, kwa Sisi wafanyabiashara hivyo vifushi vinasaidia Sana mfano kwenye mashine za kutolea risiti. Nikiweka buku natumia miezi mitatu ndo naweka tena.
Wewe ndo huna akili, kwa Sisi wafanyabiashara hivyo vifushi vinasaidia Sana mfano kwenye mashine za kutolea risiti. Nikiweka buku natumia miezi mitatu ndo naweka tena.
Sahihi.Wewe ndo huna akili, kwa Sisi wafanyabiashara hivyo vifushi vinasaidia Sana mfano kwenye mashine za kutolea risiti. Nikiweka buku natumia miezi mitatu ndo naweka tena.
Wanatunyonya sana hawa. Internet kwa wenzetu sio Bei ghali hivi. Na speed Kali 100 Mbps kwenda juu.Hivi hizi sinema za makampuni ya simu ni hapa TANZANIA au na nchi zingine wanaishi kama sisi
Bongo kilakitu ni anasaWanatunyonya sana hawa. Internet kwa wenzetu sio Bei ghali hivi. Na speed Kali 100 Mbps kwenda juu.
Nunua unachoona kinakufaa.Kwahiyo sisi sote ni wafanya biashara