Leo jioni nimeweka zangu vocha ya Tsh 2000 kwenye namba yangu ya Tigo ili nijiunge bando ka WhatsApp la mwezi mzima nikategemea ningekuta GB 3 kwa siku 30.
Aisee sikuamini nilichokiona yaani Tsh 2000 wamenipa GB 1 ndani ya siku 30 kwa ajili ya WhatsApp tu.
Nawashauri makampuni ya simu changamkieni fursa hii fanyeni kwa Tsh 2000 watu wapate hata GB 3 za WhatsApp tu au wapate GB 2.5 maana Tigo wameshaanza kuboronga. Vodacom Tanzania airtel
@Halotel Smiles TTCL zantel