Makamba ulimi haukuteleza bali alidhamiria

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,393
Reaction score
4,083
Wadau nawasalimu,

Pamoja na Rais kusema Mzee Makamba ulimi uliteleza binafsi siamini hivyo, kwani huyu Mzee kabla ya kuyazungumza hayo ndani ya kikao alipokuwa nje ya ukumbi aliropoka mambo mengi ambayo kwa umri wake na nyadhifa alizopitia hakustahili kuyasema.

Mzee alionekana mwenye jazba labda kwa kuwa swali aliloulizwa lilimhusu mtoto wake January la kukatika katika kwa umeme. Kwa hili la kusema watu wazuri hawafu binafsi naamini alilipanga muda mrefu. Wenye akili kubwa tunajua kwanini kalisema na alimlenga/kuwalenga kina nani.

Ila tunamwambia Mzee Yusuf Makamba ya kuwa, Mungu hadhihakiwi, yeye pia ni mavumbi hataishi milele pamoja na hao wazuri wakina Kinana na Kikwete, ipo siku mavumbini atarudi.
kigogo200014_1670592624452348.jpg
 
Kwa hili la Kusema WATU wazuri HAWAFI binafsi naamini ALILIPANGA Muda mrefu Wenye AKILI KUBWA tunajua kwanini Kalisema na Alimlenga/ Kuwalenga kina NANI ila Tunamwambia Mzee YUSUF MAKAMBA ya kuwa MUNGU HADHIHAKIWI yeye pia ni MAVUMBI hataishi Milele pamoja na hao WAZURI wakina KINANA na KIKWETE ipo siku MAVUMBINI atarudi.
Hawa ni mashosti wakubwa tokea wakiwa TMA Monduli, tulipo hivi sasa tunaendeshwa na genge la hawa wahuni watatu
 
Mimi nachoamini apo makamba kaongea makusudi na mama alijua tu then ety danganya toto anakuja kutuambia ety ulimi uliteleza , mama hajui kabsa kumake solutions za matatzo
 
Wadau NAWASALIMU
Pamoja na Mh.RAIS kusema Mzee Makamba Ulimi Uliteleza binafsi SIAMINI hivyo kwani Huyu MZEE kabla ya Kuyazungumza hayo ndani ya KIKAO alipokuwa nje ya UKUMBI aliropoka Mambo mengi ambayo kwa UMRI wake na Nyadhifa alizopitia Hakustahiri kuyasema MZEE alionekana mwenye JAZBA labda kwa kuwa Swali aliloulizwa lilimhusu Mtoto wake January la Kukatika katika kwa Umeme.
Kwa hili la Kusema WATU wazuri HAWAFI binafsi naamini ALILIPANGA Muda mrefu Wenye AKILI KUBWA tunajua kwanini Kalisema na Alimlenga/ Kuwalenga kina NANI ila Tunamwambia Mzee YUSUF MAKAMBA ya kuwa MUNGU HADHIHAKIWI yeye pia ni MAVUMBI hataishi Milele pamoja na hao WAZURI wakina KINANA na KIKWETE ipo siku MAVUMBINI atarudi.
View attachment 2440876
Unapompa mtu uongozi kwa kuimbisha mchakamchaka unategemea nini?
 
..Magufuli aliwahi kuuliza, " Wanawake mnataka kupanuliwa wapi.."
 
Kama kuna waropokaji wakubwa kuwahi kutokea nchi hii huwezi kuwaacha YM na mwendazake.

Ongea zao totally disconnected na brains; wanakuja kufikiria baada ya matamshi kuwatoka.
 
Yaani kwa ufupi Rais Samia kaanza kuwatenga na ndiyo maana wameona wamchimbe biti fasta ili aufyate. Maana JK kasema hali isipobadilika wakati akijua kabisa Rais Samia huku mtaani hapendwi kwa sababu ya kufukuza chinga, gharama za maisha na kukatika Umeme, hivyo na huyu Makamba kasema anaweza kufa iwapo atakaidi maelekezo ya wazee
 
Kama kuna waropokaji wakubwa kuwahi kutokea nchi hii huwezi kuwaacha YM na mwendazake.

Ongea zao totally disconnected na brains; wanakuja kufikiria baada ya matamshi kuwatoka.
..exactly.

..maneno ya Mzee Makamba ni mepesi sana ukilinganisha na kauli mbaya alizopata kutoa Magufuli.

..genge la Magufuli walikuwa na mipango mikubwa na ya muda mrefu.

..kifo cha bwana mkubwa kimewatibua na kuwachanganya kwelikweli.

..wana hasira, wana machungu, wana husda, na wana chuki na kila mtu.
 
Wadau nawasalimu,

Pamoja na Rais kusema Mzee Makamba ulimi uliteleza binafsi siamini hivyo, kwani huyu Mzee kabla ya kuyazungumza hayo ndani ya kikao alipokuwa nje ya ukumbi aliropoka mambo mengi ambayo kwa umri wake na nyadhifa alizopitia hakustahili kuyasema.

Mzee alionekana mwenye jazba labda kwa kuwa swali aliloulizwa lilimhusu mtoto wake January la kukatika katika kwa umeme. Kwa hili la kusema watu wazuri hawafu binafsi naamini alilipanga muda mrefu. Wenye akili kubwa tunajua kwanini kalisema na alimlenga/kuwalenga kina nani.

Ila tunamwambia Mzee Yusuf Makamba ya kuwa, Mungu hadhihakiwi, yeye pia ni mavumbi hataishi milele pamoja na hao wazuri wakina Kinana na Kikwete, ipo siku mavumbini atarudi.
View attachment 2440876
Kuna siku nili comment kuwa Bumbuli hatuna mbunge watu wakaona oooh namsema vibaya Mbunge

Sasa si mtoto wala mkubwa
"Hatujawahi kupata maendeleo yangu Shelukindo ametoka"
 
..exactly.

..maneno ya Mzee Makamba ni mepesi sana ukilinganisha na kauli mbaya alizopata kutoa Magufuli.

..genge la Magufuli walikuwa na mipango mikubwa na ya muda mrefu.

..kifo cha bwana mkubwa kimewatibua na kuwachanganya kwelikweli.

..wana hasira, wana machungu, wana husda, na wana chuki na kila mtu.
Igweeee umenena kweli kabisa
 
Wadau nawasalimu,

Pamoja na Rais kusema Mzee Makamba ulimi uliteleza binafsi siamini hivyo, kwani huyu Mzee kabla ya kuyazungumza hayo ndani ya kikao alipokuwa nje ya ukumbi aliropoka mambo mengi ambayo kwa umri wake na nyadhifa alizopitia hakustahili kuyasema.

Mzee alionekana mwenye jazba labda kwa kuwa swali aliloulizwa lilimhusu mtoto wake January la kukatika katika kwa umeme. Kwa hili la kusema watu wazuri hawafu binafsi naamini alilipanga muda mrefu. Wenye akili kubwa tunajua kwanini kalisema na alimlenga/kuwalenga kina nani.

Ila tunamwambia Mzee Yusuf Makamba ya kuwa, Mungu hadhihakiwi, yeye pia ni mavumbi hataishi milele pamoja na hao wazuri wakina Kinana na Kikwete, ipo siku mavumbini atarudi.
View attachment 2440876
Umenena vema.
Na kama kweli uliteleza kwake basi ule wa Job nao uliteleza tu.
Radhi yake ilipaswa kukubaliwa.
Huu wa makamba, unapaswa kuwajibishwa kama ilivyokuwa kwa ndugai!
 
Yes, Makamba alionekana kutawaliwa na mihemko toka mwanzo, kitendo cha kumnyooshea kidole yule mwandishi wa habari kilikuwa mwanzo wa mihemko yake.

Kujaribu kumtetea huyu mtu kwa namna yoyote, ni sawa na kulea ujinga ambao siku yoyote unaweza kuwarudia wapinzani, na hiyo siku ikifika, utashangaa hao wanaomtetea Makamba leo wataanza kulalamika, huo ndio "upeo" wa upinzani.
 
Wamevimbiwa hawa kenge tumewalea wenyewe kwa upole wetu,kuicha CCM iendelee kutupa mateso miaka yote hii. Acha watambe.
 
..exactly.

..maneno ya Mzee Makamba ni mepesi sana ukilinganisha na kauli mbaya alizopata kutoa Magufuli.

..genge la Magufuli walikuwa na mipango mikubwa na ya muda mrefu.

..kifo cha bwana mkubwa kimewatibua na kuwachanganya kwelikweli.

..wana hasira, wana machungu, wana husda, na wana chuki na kila mtu.
Wewe unachuki na nani?,maana Magufuli hakutoki moyoni
 
Wadau nawasalimu,

Pamoja na Rais kusema Mzee Makamba ulimi uliteleza binafsi siamini hivyo, kwani huyu Mzee kabla ya kuyazungumza hayo ndani ya kikao alipokuwa nje ya ukumbi aliropoka mambo mengi ambayo kwa umri wake na nyadhifa alizopitia hakustahili kuyasema.

Mzee alionekana mwenye jazba labda kwa kuwa swali aliloulizwa lilimhusu mtoto wake January la kukatika katika kwa umeme. Kwa hili la kusema watu wazuri hawafu binafsi naamini alilipanga muda mrefu. Wenye akili kubwa tunajua kwanini kalisema na alimlenga/kuwalenga kina nani.

Ila tunamwambia Mzee Yusuf Makamba ya kuwa, Mungu hadhihakiwi, yeye pia ni mavumbi hataishi milele pamoja na hao wazuri wakina Kinana na Kikwete, ipo siku mavumbini atarudi.
View attachment 2440876
Kuongea sana huponza kichwa,asamehewe!
 
Back
Top Bottom