mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Niliowataja kwa kuwa wana umri Wa kupractice mambo waliyokuwa wanayaubiri wakiwa bungeni na wamepata umaarufu mkubwa ni vema wakaachana na vyeo vya kisiasa wakajikita kwenye biashara ili tuone uwezo wao Wa kuanzisha na kuendesha Mali ili nasie tufate nyayo zao.
Baada ya mafanikio yao wananchi hatuna budi kuwapa kura tena miaka ijayo kwani watakayoyaongelea yataleta ufanis mkumbwa kwa kuwa wameyapitia wanajua uchungu Wa kuwa mfanyabiashara au kuwa mkulima.
Nawapenda Kishimba na Msukuma kwani wao ndio wawakilishi wazuri Wa wananchi suruba nyingi wamezitia wanajua yaliyomo, sio story za Kingwangala na vijana mkajiaji wakati yeye miradi yake ibaendeshwa kwa nguvu za kuwa WAZIRI na mbunge, anataka MTU asiye na kitu akajiajiri.
Nimetoa mfano Wa MO kama kijana mpenda nchi yake kwani amejaza vijana wenzie kwenye viwanda kwa kutumia fursa aliyoipata, sasa anapaa kimataifa. Huyu MO akisema tu narudi bungeni haitaji kuonga wapiga kura, hata kwenye kura ya maoni anaweza pita bila kupingwa.