Makamba: Lowassa ni mroho wa madaraka

Kweli atusamehe tu hata mimi nilimpenda sana ila alipohama nikamchukia na alipojinyea ndio sitamani hata kumuona

Kumbe demokrasia kwenu ni kubakia kuikubali CCM milele hata kama ukijitambua kuwa ni chama cha familia isiyokuhitaji wala kukuthamini
 
Kumbe demokrasia kwenu ni kubakia kuikubali CCM milele hata kama ukijitambua kuwa ni chama cha familia isiyokuhitaji wala kukuthamini

Acha upuuzi wewe chama cha kifamilia ni Chadema kwani hajui?
 
TULIKUPENDA SANA KUMBE UKO HIVYO UTATUSAMEHE:

Tulimpenda sana, Lowasa na tukamshangilia sana akiwa ccm hatukujua kumbe ni mpenda madaraka hv tena kwa gharama yoyote ile hata kwa wizi ilimradi tu uingie Ikulu nasema NO UTATUSAMEHE HAPA KAZI TU

Lowassa hapat kura yangu
 
Acha upuuzi wewe chama cha kifamilia ni Chadema kwani hajui?

Kumbe tunajadili na mgonjwa wa akili! Hujui kuwa JK na familia yake yote ndio wanaoongoza CCM yenu? Kama hata hilo dogo hujui unatafuta nini humu JF?
 
Magufuli anatumia mamilioni kulipa wasanii ili kubadirisha upepo wa kampeni kuwa fiesta,kwa sababu anaogopa aibu y kukosa watu. Ni sheeeeeda
 
Hivi CCM imeshindwa kabisa kuilazimisha Serikali yao ipeleke mafao ya wastaafu pspf? Kazi ya chama ni nini?

Hao pspf sashivi wameshindwa kabisa, Ukiwapigia simu wanaweza wasipokee siku nzima, siku wakipokea unapewa majibu ya mkatao tu.
Na ukifanikiwa kuunganishwa na watu wa uhasibu, angalau wao ndio wanakupa majibu ya hali ilivyo kwenye file la mtu wenu. Kwamba hazina haijapeleka makato, ila unaweza kuwasiliana na CUSTOMER CARE MANAGER, yeye atajua namna ya kushughulikia madai yenu kwa haraka.

Tatizo sasa, ni namna ya kumpata huyo Customer Care Manager, mara uambiwe hayupo ofisini, mara uambiwe simu yake inaita tu bila majibu. Jamani tufanyeje sasa sisi watu wa huku mbali, na ndugu yetu ni mahututi? BACK TANZANIA
 
Mkuu kwanini Magufuli aliacha ualimu na kugombea ubunge na sasa uraisi??
 

kama ccm sio waroho wa madaraka n kwa nini wanapga kampeni???
si wakalale tu wamuache mwenye uchu wa madaraka???

kenge ni kenge tu
 
Waroho ni hawa wasiotaka kuachia dola..
Ccm walipomzingua 2008 hakutumia muda akaachia uwaziri mkuu..
 
TULIKUPENDA SANA KUMBE UKO HIVYO UTATUSAMEHE:

Tulimpenda sana, Lowasa na tukamshangilia sana akiwa ccm hatukujua kumbe ni mpenda madaraka hv tena kwa gharama yoyote ile hata kwa wizi ilimradi tu uingie Ikulu nasema NO UTATUSAMEHE HAPA KAZI TU

We Admn tabia yako ya kuchanganya maada uache huo ujinga na tabia ya kuondoa maada humu ndani uaache wape watu uhuru hata kama umelipwa na Lowasa uwe unaziondoa maada zinazomgusa acha huo ujinga kama ni hela wewe kula ila tuachie uhuru
 
Mkuu nahisi yapo kwenye ilani yao maana wote wakipanda jukwaani wanasoma au wamekaririshwa matusi.

Wanaboa sana humu ndani! Wamekalilishwa kila kitu ndo maana tunasema sasa basi hapa twende na Lowassa. Leo kawasha moto kwa cheche kali huko Muheza anatisha Lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…