Jamani hawa watu wa CCM sijui wakoje!
1. Werema: Kuhusu Katiba mpya, yalikuwa ni mawazo yangu!!
2. Kombani: Kuhusu Katiba mpya, nilikuwa natikisa kiberiti!
3. Makamba: Mawazo ya Chatanda ni ya kwake binafsi, si ya chama!
4...........
Sasa itafika wakati kabla ya kuongea wana-CCM wawe wanatamka kabisa kwamba haya ni mawazo yangu binafsi au ya Chama!