Kinana angepata uhakika wa umati huo, angerudi kugombea ubunge Arusha. Tumeona picha ila tunajua mchezo uliofanywa mkaupata huo umati. Endeleeni kujifurahisha, mpaka Oktoba
Aliyekuwa Katibu Mwenezi Kata ya Olorien,mkoani Arusha kupitiaa chama cha CHADEMA,Prosper Mfinanga akivua sare za chama chake kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo,akiashiria kukihama chama hicho na kuhamia chama cha CCM,ambapo pia alikabidhi kadi yake ya awali kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na kukabidhiwa kadi mpya ya chama hivyo. View attachment 236618