Makamanda wapya chadema. Interesting!

dah! Nimeshatoka kwenye pc, sasa sijui itakuwaje
 
Arifu kama picha umeshindwa siungeweka hata vidole
 
kamanda wa kwanza hapo kushoto ni jembe vibaya
 
huyo wa kushoto anaitwa nani?. dah nmewakubali. pipooooz!!!!
 
Itried but naona kuna virusi vya kutosha. Inashindikana kuiweka sawa.

Mimi kwangu inaonekana ni ile picha ya Nassari ,Sugu wakiwa na Le Mutus bungeni wakipiga V sign!! Inaelekea baada ya jumanne Le Mutus atafuata nyayo za Ole Millya ready kupambana na kibajaj 2015 kule Mtera!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…