Makamanda Arusha tupe ukweli Juu ya hili

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Haya ni matokea ya Uchaguzi wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Arusha DC.

Kijiji cha Lamanda Oldonyosambu:

CCM-------83
CDM-------15

Kijiji cha Ilkiding'a:
CCM-------263
CDM-------240

Je tutafika???
 
Haya ni matokea ya Uchaguzi wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Arusha DC.

Kijiji cha Lamanda Oldonyosambu:

CCM-------83
CDM-------15

Kijiji cha Ilkiding'a:
CCM-------263
CDM-------240

Je tutafika???
Toka tupate Uhuru wako ccm,sasa wameamua kuwa wateja wa ccm,utawalazimisha wakati wamenyimwa elimu ya uraia?
 
Haya ni matokea ya Uchaguzi wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Arusha DC.

Kijiji cha Lamanda Oldonyosambu:

CCM-------83
CDM-------15

Kijiji cha Ilkiding'a:
CCM-------263
CDM-------240

Je tutafika???
Mambo ambayo serikali imefanya Arusha ni makubwa mno! Wanahaki ya kuongeza imani kwa CCM
 
Back
Top Bottom