Makala ya James Mapalala kwenye gazeti la Mwananchi Imenisisimua!


Makala yako yanathibitisha mambo haya yafuatayo:

Wewe ni mdini, mwongo, na una uono finyu juu ya kuufananisha Uislamu na Uarabu! nani kakuambia kila mwarabu ni Muislamu? nenda nchi kama Syria, Lebanon, Irak, Morocco au Egypt utawakuta Waarabu wakristo wengi na Makanisa yao mengi! sasa unapohusisha Uislamu na Uarabu nashindwa kukuelewa! Bila shaka hujui kuwa nchi kama Indonesia, Malaysia, Singapor, BRUNAI, India, Bangladesh, baadhi ya nchi za ULAYA Mashariki kama Kazakstan, nk. sio waarabu lakini waislam ni wengi tu!

Udini wako umeuonyesha kwa kumtetea James Mapalala kwa sababu ya Ukristo wake! Huyu James Mapalala alifukuzwa CUF baada ya kuiba michango ya wanachama! pesa za chama aliziweka kwenye buti la gari lake! sasa wewe ulitaka mwizi aendelee kuwa kiongozi wa CUF ati kwa sababu ni Mkristo!

Uongo wako ni kwamba baada ya Mapalala kufukuzwa uanachama sio kweli kuwa CUF ilimfanya Lipumba mwenyekiti bali alichaguliwa Mzee Musomi Mugomi ambae ni Mkristo kuwa Mwenyekiti na hata Lipumba alipogombea Urais mwaka 1995 hakuwa mwenyekiti wa CUF bali alikuwa mwanachama wa kawaida!

Hapa umetuletea makala yenye udaku, umbea, uongo, udini na mapungufuya historia halisi! labda uwadanganye wenzio wanachama wa chama cha maandamano na migomo (CCMM) kwani wao ndio hudanganywa kila siku kuwa CUF ni chama cha Waislamu, makontena ya silaha yameingizwa nchini, karatasi za kura bandia toka South Africa zimekamatwa mpakani nk!! yaani kazi zenu ni uongo na udaku ndio sera zenu!!!!
 
Wewe ni mdini

yeye ndo alisema mlimuita 'kafiri' na dokumenti anazo.

Huyu James Mapalala alifukuzwa CUF baada ya kuiba michango ya wanachama! pesa za chama aliziweka kwenye buti la gari lake!
hizo fitna za waswahili wa Pwani tu...kwani nani asiyejuwa kama nyie ni mahiri wa fitna?


Uongo wako ni kwamba baada ya Mapalala kufukuzwa uanachama sio kweli kuwa CUF ilimfanya Lipumba mwenyekiti bali alichaguliwa Mzee Musomi Mugomi

sa mbona hao wazee wenyeviti wa zamani walikuwa wanakitumikia chama baada ya muda wanaachia wengine, mbona maali seif na lipumba wamegeuka masultani?





Hapa umetuletea makala yenye udaku, umbea, uongo, udini na mapungufuya historia halisi!


mkuu nimeweka updates. najuwa wewe msomaji mzuri wa Arnur. uwe unasoma na makazeti mengine pia.
 
Upinzani wa vyama vingi una historia yake na misukosuko wanaijua wahenga wetu kama James Mapalala,Kasanga Tumbo na wengineo;Wengine wanadandia tu bila kujua nini siri ya hivyo vyama,Namshauri Mtatiro ajitazame upya na CuF yake!
 
Ng'wanangwa...weka wazi ikiwezekana,wewe ni mwanachama wa chama chochote cha siasa au ni mpenzi wa chama cha siasa? Hiyo nyekundu ndio imenifanya niulize hili suali.

mimi ni muumini wa sera za chama. kama walivo wamarekani...wao husikiliza sera, siyo ushabiki wa kijinga.

kwa sasa mimi ni mfuasi mtiifu wa Chadema, kwa sababu ya sera zao kutetea rasilimali za nchi kwa ajili ya wananchi.
 
 
Baba yake Bi Kiroboto ndio alianzisha fitina na Mh James Mapalala huko Tabora miaka ya 60s
 
Baba yake Bi Kiroboto ndio alianzisha fitina na Mh James Mapalala huko Tabora miaka ya 60s

Kumbukumbu zangu ni kwamba james mapalala alipewa ruzuku na serikali kwa ajili ya chama ilikua sh5m kipindi hicho akaiweka kwenye bonet ikaibiwa! Hapo ndipo wenzie wakalianzisha! Asifikiri tumesahau bwana!
 
Mkuu mzee mapalala tulimfatilia vizuri hajawahi kuiba hata cent ya mwanachama, issue ilikuwa madaraka na madonors hawakuwa comfortable na dini ya mapalala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…