Makahaba Wagonganisha Ma RPC Dar


tatizo ni jinsi ya kuweza kulithibitisha hili kosa mahakamani...kama unakumbukumbu ya kesi yeyote iliyoamuliwa
na mahakama kuu ikimtia hatiani mtuhumiwa kwa kifungu hiki cha sheria kongwe tuwekee humu...vinginevyo hii ni sheria mfu yaani haitekelezeki.
 
mafisadi wengi wanaishi wilaya ya kinondoni ambao athari moja wapo ni ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida ikiwemo hao wanaoshaushika bila idhini yao ila tu kwa ugumu wa maisha kufanya ukahaba swali hapa ni je kenyela hana taarifa kuwa mafisadi wakubwa wa nchi hii wanaishi kinondoni? Na kama anajua au ana ufahamu huoa huku akiwa afsa wa ngazi ya juu wa serikali je sheria kwa maana ya katiba haimruhusu kuwatia nguvuni hao ambao wanasemekan kuwa ni mafisadi? Na kama ana ruhusiwa kisheria je amekwisha hoji watuhumiwa wangapi? Au tuhuma za ufisadi hazina faida kwa taifa ila tuhuma za ukahaba ndiyo zinafaida kwa taifa au akiwa kama afsa wa serikali wa ngazi ya juu kabisa tena katika idara yenye uwezo wa kisheria wa kuita mtuhumiwa na ku mhoji ili ajibu tuhuma zake na yeye mwenyewe akiwa mwana taaluma wa sheria kwamba hana takwimu au ameshindwa kuhoji watu wanao hujumu uchumi? Au hajui nn changamoto za wilaya ya kinondoni kwa nafasi yake kwa manufaa ya taifa?
 
Hapo kuna kitu zaidi ya tukionacho kw sababu hayo ni mamb ya ndani kwanini mmoja yatoe nje....binafsi nchukia sana kutaka sifa au kujeng jina kupitia kumuumiza au kumdhalilisha mtu mwingine....kamand ameteleza kw hapo
 
Ukahaba wa mwili ni rahisi kwisha, tuhangaike na ukahaba wa roho ndiyo unalo liangamiza taifa, hatuoni, hatusikii, tunajiangamiza wenyewe na vizazi vyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…