Makabila na tendo la ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makabila na tendo la ndoa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by rushaka, May 16, 2008.

 1. r

  rushaka Member

  #1
  May 16, 2008
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tendo la ndoa kwa wanandoa katika makabila mbalimbali huombwa kwa viashirio tofauti:

  ''Mchagga"........'We mama Haika, uko wapi? Ntaacha!!!
  "Mkurya"..........'Rara chini nikurenge!"
  "Mhaya"..........."Mama Koku if you are ready twende tuka-perform"
  "Mnyakyusa"....."Findu fyangu we Obhokela”!!
  "Mpare" ..........."Mama Foibe thou nikakudenge"
  "Msukuma"........"Mama Kabula twendee tukhalimege litonge"
  "Mjaluo"..........."Twendege tukasukumane!!"
  "Mmasai".........."Mama yeyoo nataka ile namesa mwensake saa hii”
  “Mzaramo”……..”Wee Chausiku hupakui leo?”
   
Loading...