TUPAC WA MWAKALELI
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 354
- 109
Hawa watakuwa na undugu na panyaKuna wengine wanatafuna godoro kisa utamu wa mapenzi ukishutuka gadoro limeisha
Hawa watakuwa na undugu na panya
mbna hujayaweka waz mkuu au unaogopa mieleka?!?
Mipanyapanya by Naturekwahiyo tuwaiteje hilo kabila? Watakuwa wanyapanya.
hebu kamwonyeshe kwanza atuletee jibu...hivi wewe mleta mada wachaga tu ndo magoi goi kitandani usinifanye niende mbali nikataka tufanye practical afu ulete mrejesho hapo acha kabisa
Kuna makabila jamani yako kama wale mawaziri mizigo wa CCM, yaani wanaume kwa wanawake kitandani goigoi.
Unakuta mwanamke mweupe, sura nzuriiii, miguuu myembamba kama ya mbu wa dengue, kitandani hana mashamu shamu yoyote zaidi ya kusema YETHU NA MARIA, YAANI HATA MATHAWE HAFANYAGI HIII.
Jamani mwenzenu huwa nakereka sana.
Pia kuna wale wababe, unakuta wakati wa kumuandaa anakuuliza, UNANIRAMBARAMBA NINI, KWANI MI NDAMA? HEBU INGIZA NIKARIME.
yaani kuna umuhimu wa kuthamini tendo la ndoa jamani na mjitoe akili na nafsi zenu kwa ajili ya tendo hili, msione aibu kujifunza kwa kuuliza na kusoma maandiko mbalimbali.
Miss Chagga shemeji yangu huyu mleta mada sijui katokea wapi, nikimleta mama Furaha wangu wa kichagaa kwa ajili ya mashindano atawatoa nock out kabisa. Suala la kitandani ni ubunifu ambao kila mwanamke na mwanaume inamhusu.hivi wewe mleta mada wachaga tu ndo magoi goi kitandani usinifanye niende mbali nikataka tufanye practical afu ulete mrejesho hapo acha kabisa