Kimekutokea nini mkuu, ila wewe una tatizo utampendaje mtu kwa avator, sijui picha, au comments, ujue huo ulikuwa upendo fake ila ungependa moyoni wala usingeona shida, mi ndo maana hushangaa mtu ansyevutiwa na mtu kisa picha kah BY the way wa mtaani na JF ndo hao hao. Jifunze kupenda mtu bila kuweka hisia
Hahaaaa makubwa haya hivi unavutiwaje na avator ya mtu eti ndo upendo kah kwani mtu akiwa na hyo sura kajiumba yeye si ndo alivozaliwa you can't change it umba wa kwako mzuri, mi ndo mana hushangaa watu humu anataka akuone sura na picha ili iweje. JF ni mtandao mzuri ukiutumia positive wengine tumekutana na watu humu twaheshimiana no utoto sijui sura, status tumekuwa wote Mengi.Kilichomtokea ni kama hiyo avatar yako, akutongoze halafu akikutana na wewe anagundua yuko na kifaa cha kumsaidia Mtoto Kunywa Uji vizuri na kwa utulivu
Ndo hivyo mkuu , jina, mada zake pamoja na avatar vilinifanya ni usiku mzima nisilale nikiingonjea siku ya kuonana na mrembo matata, ila niliyekutana nae sina budi kutubu na kumrudia mola wangu au nikomae na wa huku uswazi kwetu.Ha ha ha ha kwahio we ulivyoona jina cutelicious na avatar ya christina milian ukajua mtoto kisu au sio? Humu baadhi ya wachumba ni jau hadi kidume unaweza mkimbiza kwa muonekano yani! wengi wana mikwara na avatar za mastaa na mizigo mizigo hivi,
Kwa mfano wewe hyo avatar yako mkuu mtu ataachaje kuiangalia mara mbili?Kimekutokea nini mkuu, ila wewe una tatizo utampendaje mtu kwa avator, sijui picha, au comments, ujue huo ulikuwa upendo fake ila ungependa moyoni wala usingeona shida, mi ndo maana hushangaa mtu ansyevutiwa na mtu kisa picha kah BY the way wa mtaani na JF ndo hao hao. Jifunze kupenda mtu bila kuweka hisia
Ni mjinga tu atakayevutiwa na avator yangu ka kigezo chake alichokiweka kichwani, eti ndo aamini ndo uzuri, so childish for sure loh.Kwa mfano wewe hyo avatar yako mkuu mtu ataachaje kuiangalia mara mbili?
Sura ya kumtishia mtoto ale bila kelele, ha ha ha ha! Umenkumbusha mbali sanaKilichomtokea ni kama hiyo avatar yako, akutongoze halafu akikutana na wewe anagundua yuko na kifaa cha kumsaidia Mtoto Kunywa Uji vizuri na kwa utulivu
Ur just say that bse ur not a man.first we tempted then love..i can be tempted by ur avatar then nikajenga taswira how carha look like naamua kukutokea at the end nikikuona ur away frm my imagination ndicho kilichomkuta mleta thread..Ni mjinga tu atakayevutiwa na avator yangu ka kigezo chake alichokiweka kichwani, eti ndo aamini ndo uzuri, so childish for sure loh.