Majumuisho ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Utamaduni

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
810
513
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasilisha taarifa ya majumuisho ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, tarehe 28 Machi, 2023 Jijini Dodoma.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…