Majumuisho mkutano wa nmc arusha 05/05 vua gamba vaa gwanda ulioongozwa na kamanda mbowe

Labda laptop yangu inazingua....sijapata updates za Arusha wala Morogoro walikokuwa Halima Mdee na Tundu Lisu....wala picha sijaona.....au macho yangu yameanza upofu? Jamani chonde chonde....mwenye link ya kupata picha za matukio ya Arusha na Morogoro ya leo anijuze...Plz, nina shauku kweli.....
 

Mwenye enzi Mungu na akusamehe kwa kwa maneno haya
 
freeedom is coming tomorrow,movement for change is the greatest voice from God.Walianza na Mungu watamaliza na Mungu kinachotakiwa solidarity forever.Haki ya mtu haiombwi kama kipande cha mkate kwenye kisosi,haki ya mtu hunyakuliwa kwa nguvu pale wakati wake utakapofika.Mama Tanganyika amenyonywa sana mpaka anataka kamuliwa damu,nasi hatutokubali maziwa yake yachanganyike na damu.Ukombozi wa kweli upo ndani ya mshikamano wetu wanyonge dhidi ya mabwana,unangoja nini kama kweli una uchungu na nchi hii!
 

REJAO umepigwa Ban?
 

Simon punguza uoga man,Mwakasege namheshimu na kumpenda sana na pia aliwahi kunifundisha masomo ya dini wakati nikiwa 'o'level,sasa basi,nataka nikuambie kamanda Simon,akikubali huo upuuzi wa kujiunga na magamba kihindi tunasema kushney.Najua MUNGU anamsimamia kwa mambo mengi bt kwa hilo atamwacha.Ccm wanachekesha sana,wakiona mwakasege anakusanya watu mikutano ya injili wanafikiri ndivyo atakavyopata kura nyingi????hahahahahahaha.
 
. Nassari alisema Atatoa Amri ya kumzuia J.K Kukatiza Arusha kwani yeye Ni Raisi wa Arusha Na Lema ni Waziri Mkuu.

:A S 13: now that is taking things to the extreme..lema atakuaje waziri mkuu wa arusha wakati hata ubunge hana? kumbukeni kua waziri mkuu inabidi uwe mbunge dah wana cdm wana uchungu na madaraka wameshaanza kupeana urais na uwaziri mkuu huko arusha :eek2:
 
CHADEMA ina kila dalili nzuri za kufanikiwa kuiondoa CCM,lakini iwe makini,ila wawe makini na hawa wauwaji wa kimya kimya! Hivi ile ya mwenyekiti wa CHADEMA Usa River imeishia wapi? Alafu bado wasimpe Ole Milya nafasi za juu katika Chama,mpaka kweli wapate uhakika kwamba,Milya amebadilika. Atakate kabisa!
 

Una uhakika juu ya huyo mtu uliyemtaja hapo kuwa CCM wanampango wa kumsimamisha kugombea ubunge? Nashauri kuwa Kama huna uhakika futa kauli yako.
 
Kama Mwakasege anataka aibu aende Arusha, kumbuka sasa hivi watu tumekichoka chama, na siyo mtu. So hata kama akigombea Kikwete au yeyote unayemfahamu mwenye ushawishi, hawezi kushinda....nini Mwakasege bana!!!!!

STK ONE, usichangie kwenye comment ambayo aliyeitoa hana uhakika na alichokisema. Usidhani kuwa kuwa kuwa huyu bwana amesema Mwakasege kugombea ubunge basi madai yake ni ya kweli.
 

Wakinga tupo nyuma tunamipango mathubuti...tunachinja gamba 2015 makete mchana kweupe....huyu jama Eng wetu aliye pewa unaibu na JK juzi akusanye hela za mwisho
 

akili yako imejaa magugu-maji!
 
Una uhakika juu ya huyo mtu uliyemtaja hapo kuwa CCM wanampango wa kumsimamisha kugombea ubunge? Nashauri kuwa Kama huna uhakika futa kauli yako.

sio kauli yake hiyo; kaeleza kilichosemwa mkutanoni ambacho nami nilikuwepo nikakisikia!
 
Hekima kwa mwana siasa ni jambo la kwanza na la Msingi,wamkalize chini wamfunze cha kuongea anachuja haraka sana huyu kijana wetu mpendwa,Meru akumbuke alipata kura kwa kuombewa na wengi nma 2015 atakuwa peke yake.Mungu amuongoze
Nassari anahitaji kwenda taratibu; ajifunze kitu cha kwanza hekima!
 
Kuhusu kutishita vifo Nassari aliongelea na taarifa wamezipeleka polisi. Alaf kuhusu mauaji mwenyekita Us wametoa siku kama polisi hawatawakamata wauaji wa meru watafanya hyo kaz
 
Makete Kwetu jiandae uchukue hilo jimbo uwakomboe kina Sanga. Mapembelo
Wakinga tupo nyuma tunamipango mathubuti...tunachinja gamba 2015 makete mchana kweupe....huyu jama Eng wetu aliye pewa unaibu na JK juzi akusanye hela za mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…