Everything is under control, calm downHapa huwezi waona wapo bizi kutafuta maoungufu ya nyang'au. redeemer ile meli inaitwa aje?
Always on YouTube and Twitter but on the ground things are different. Congratulations on your propaganda.Everything is under control, calm down
We don't have a monkey economy, we're confident, meli tano zinaingia Lake Victoria soon
Ngeli ya tu-ta na tu-ki....
hivi, umeshajiuliza mbona hii unayoita failed state inakunyima usingizi kila siku?? muulize ndugu yako geza, alichoka aka lala. Kenya huiwezi.Hahahahaha, Failed state.
Mkitia saini na kuzindua mara Kama kumi hivi unitag...bure kabisa takataka meffi ya kuku. Nilifikiri unaleta picha ya meli ikiwa kazini. Huu upuzi tumeshauzoea, ndio trademark ya LDC Danganyika.We don't have a monkey economy, we're confident, meli tano zinaingia Lake Victoria soon
Mlima ni wenu, view ni yetu. Yani muda huu wote hujaelewa ama akili yako punguani? We own the view(money), yani nikiwa Nairoberry nacheki Kilimanjaro bila shida yeyote vile vile watalii.HK sio vizuri hivyo yaani hiyo ngumi ndio tunasemaga yakutolea mtu uhai View attachment 1129494
Tukana yotee yaishe..Mlima ni wenu, view ni yetu. Yani muda huu wote hujaelewa ama akili yako punguani? We own the view(money), yani nikiwa Nairoberry nacheki Kilimanjaro bila shida yeyote vile vile watalii.
Mambo ya kuukwea mlima ni ya watu kadhaa ama Kuna hoteli kileleni mwa mlima kwa wanaoukwea??? Wanaoukwea mlima are poor tourists.
Ingia Muhimbili wakudunge Sindano usishikwe na mshtuko wa moyo.Tukana yotee yaishe..
Mods msimpige ban naombeni,,, nataka anitukaneeeeeee hadi kifua kikiwa chepesi asije pata shinikizo la damu
Roman abramovich ni maskini wewe mtu mwenye ukurutu wa kibera?Mlima ni wenu, view ni yetu. Yani muda huu wote hujaelewa ama akili yako punguani? We own the view(money), yani nikiwa Nairoberry nacheki Kilimanjaro bila shida yeyote vile vile watalii.
Mambo ya kuukwea mlima ni ya watu kadhaa ama Kuna hoteli kileleni mwa mlima kwa wanaoukwea??? Wanaoukwea mlima are poor tourists.
Mkitia saini na kuzindua mara Kama kumi hivi unitag...bure kabisa takataka meffi ya kuku. Nilifikiri unaleta picha ya meli ikiwa kazini. Huu upuzi tumeshauzoea, ndio trademark ya LDC Danganyika.
Inaitwa KibelaRoman abramovich ni maskini wewe mtu mwenye ukurutu wa kibera?
Dar to Kibaha km ngapi?Tayari tumezindua, hahahahaha.
HK sio vizuri hivyo yaani hiyo ngumi ndio tunasemaga yakutolea mtu uhai View attachment 1129494