M Mkempia JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 1,142 Reaction score 462 Mar 19, 2013 #21 Yaani huyo mume anataka kuleta ufisadi kwenye pesa za mkewe?? ashindwe kabisa
Mapolomoko JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 1,751 Reaction score 422 Mar 19, 2013 Thread starter #22 Mme hajakamatwa juzi ilisemekana aliludi kuchukua vitu vya ndani watu waka itaalifu polis, walipo fika hawakumkuta tetesi ni kuwa amejifungia ndani maana hakuonekana alipo pitia ulinzi umeimalishwa nje ya nyumba. ni mkoa wa KAGERA BIHARAMLO RUNAZI
Mme hajakamatwa juzi ilisemekana aliludi kuchukua vitu vya ndani watu waka itaalifu polis, walipo fika hawakumkuta tetesi ni kuwa amejifungia ndani maana hakuonekana alipo pitia ulinzi umeimalishwa nje ya nyumba. ni mkoa wa KAGERA BIHARAMLO RUNAZI
C cencer09 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 5,108 Reaction score 3,210 Mar 19, 2013 #23 utaifakwanza said: kama ulivyo wewe Click to expand... mkuu mbona povu lakutoka ukisikia Gamba?nini tatizo guilt consious au...?
utaifakwanza said: kama ulivyo wewe Click to expand... mkuu mbona povu lakutoka ukisikia Gamba?nini tatizo guilt consious au...?
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,550 Reaction score 3,092 Mar 19, 2013 #24 Pole sana mama, mungu akusaidie upone uendelee kutumia wananchi wako.
kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,073 Reaction score 6,639 Mar 19, 2013 #25 pole yake!....mungu atamlinda sala zetu zipo juma yake!....
K kinauche JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 7,681 Reaction score 2,219 Mar 19, 2013 #26 Hivi ni kwa nini baadhi ya wanaume wana roho za kishetani? Unawezaje kumkata mapanga bedmate wako? Baadhi ya wanaume kweli noma! Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hivi ni kwa nini baadhi ya wanaume wana roho za kishetani? Unawezaje kumkata mapanga bedmate wako? Baadhi ya wanaume kweli noma! Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
paul nsangu Senior Member Joined Nov 23, 2012 Posts 179 Reaction score 32 Mar 19, 2013 #27 lazima mmmewe atakuwa ni big gamba tu na hata wekwa ndani maana movement iliyopo kuididimiza cdm
Shinto JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 1,781 Reaction score 98 Mar 19, 2013 #28 MAGAIDI wa ndani wachunguzwe!
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,020 Reaction score 9,177 Mar 19, 2013 #29 ESAM said: Huyo mume yuko ndani au bado hajakamatwa maana vyombo vyetu hivi!! Click to expand... Uchunguzi unaendela this time watakuja Scotland Yard.
ESAM said: Huyo mume yuko ndani au bado hajakamatwa maana vyombo vyetu hivi!! Click to expand... Uchunguzi unaendela this time watakuja Scotland Yard.
Tume ya Katiba JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,896 Reaction score 1,866 Mar 19, 2013 #30 Polisi wafanye uchunguzi wa kina huenda Bukoba boy "Mtuhumiwa wa ugaidi" anahusika kwenye huu mpango!
Polisi wafanye uchunguzi wa kina huenda Bukoba boy "Mtuhumiwa wa ugaidi" anahusika kwenye huu mpango!