TanzaniaMaendeleo
Member
- Feb 18, 2013
- 47
- 14
Majogoo wazazi wa asili aina ya kuroiler wanauzwa Sinza Dar es Salaam, wana uzito wa kuanzia kilo mbili 2 na kuendelea. Bei ni nzuri sana Tshs 15,000 kwa kila jogoo na wapo idadi ya kutosha.
Kwa mawasiliano tafadhali piga simu +255 713 948 205.
Karibuni.
Kwa mawasiliano tafadhali piga simu +255 713 948 205.
Karibuni.