Majipu yasiyotumbuka

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,666
Yako majipu sugu yasiyo rahisi kutumbuliwa. Mali zimeandikishwa kwa majina ya ndugu. Hao ndugu waulizwe hizo mali wamezipataje na kama zinalipiwa kodi
 
Yako majipu sugu yasiyo rahisi kutumbuliwa. Mali zimeandikishwa kwa majina ya ndugu. Hao ndugu waulizwe hizo mali wamezipataje na kama zinalipiwa kodi
Magu huwa ana ka-kauli mbiu kakakosemaga "yaliyopita si ndwele"

Kauli mbiu hii ina maana pana sana
 
Kuna watu kama wakina JK,BM,AC n.k inaonekana kabisa wanaogopwa kutumbuliwa ila watu wanajifanya hawaoni.
 
Back
Top Bottom