Nyamambovu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 226
- 723
Hapo sijajua MkuuHivi hizi selection huwa zina round two au ikitoka hii moja ndo hadi mwakani?
mfano diploma za MUHAS zinazo selection ngapi?
Lakini Tangazo si nalo wenyewe!!hawakujua kama august 22 itakuwa jumapili??Leo jumapili mzee nani umshindishe kazini na kupandisha matokeo hewani, kwa mshahara upi? Subiri kesho
Haya basi subiri mpaka SAA 6 za usiku uwe unachek Mara kwa maraLakini Tangazo si nalo wenyewe!!hawakujua kama august 22 itakuwa jumapili??
Haya basi subiri mpaka SAA 6 za usiku uwe unachek Mara kwa mara
Mpaka kieleweke hakuna kulalamkuu
Ndo hvyo yaaniMpaka kieleweke hakuna kulala
Zina round ya pili mkuu ila unakuta vyuo maarufu kama Muhas vimeshajaa kitambo hivyo havina round ya pili.Hivi hizi selection huwa zina round two au ikitoka hii moja ndo hadi mwakani?
mfano diploma za MUHAS zinazo selection ngapi?
daah shukrani mkuuZina round ya pili mkuu ila unakuta vyuo maarufu kama Muhas vimeshajaa kitambo hivyo havina round ya pili.
Kumbe hapatoki tangazo??Ni nadra sana kutoka tarehe ilkyowekwa kwenye ratiba ila chamsingi tembelea profile yako mara kwa mara ndio yanawekwa huko
Ndio tangazo linachelewa kutoka kwenye profile yako ndio wanawahi kuweka matokeo na hata tangazo lao halitakua na majina bali litakujulisha tu utembelee kwenye profile yako.Kumbe hapatoki tangazo??
Sio mm ,nilishamaliza mda sana huyo ni ankoMzee baba una multiple admission apo