Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya serikali kada ya Afya 2021/2022 yanatoka lini?

Nyamambovu

JF-Expert Member
Jun 27, 2021
226
723
Wakuu kwa mujibu wa tangazo la NACTE leo 22 August 2021 majina ya waliochaguliwa yanatakiwa kutangazwa ila mpaka saivi sijaona chochote. Wajuvi wa Mambo naombeni msaada mdogo wenu pengine kuna taarifa zilitoka hapa katikati za mabadiliko Mimi sikuziona.

Natanguliza shukrani zangu
 
Hivi hizi selection huwa zina round two au ikitoka hii moja ndo hadi mwakani?

mfano diploma za MUHAS zinazo selection ngapi?
 
Leo jumapili mzee nani umshindishe kazini na kupandisha matokeo hewani, kwa mshahara upi? Subiri kesho
 
Ni nadra sana kutoka tarehe ilkyowekwa kwenye ratiba ila chamsingi tembelea profile yako mara kwa mara ndio yanawekwa huko
 
Hivi hizi selection huwa zina round two au ikitoka hii moja ndo hadi mwakani?

mfano diploma za MUHAS zinazo selection ngapi?
Zina round ya pili mkuu ila unakuta vyuo maarufu kama Muhas vimeshajaa kitambo hivyo havina round ya pili.
 
Udom
Screenshot_20210822-210735_1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom