Majina ya Wahuni

zwangandaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
750
Reaction score
1,425
Asalaaam aleykum wakuu.
Allah ni mwena ni wekend na sikukuu pia kwa waislaam wote.

Mada hii sawa na kichwa hapo juu.

Nimeishi mitaa mbalimbali hapa nchini, nilichogudua ni kwamba karibia wahuni wote wa zama hizo na zama hizi hitumia majina bandia yanayofanana.

Mfano mdogo tu, anzia hapo mtaani kwenu, mtaa jirani ama muhuni yeyote unae mfahamu, katika wahuni 10 hakosekani mmoja mwenye jina miongoni mwa orodha hii:

1. Dula
2.Roja
3.J4
4.Msodoki
5.Pablo
6 Toshi
7.Tolu
8.Waiti
9.Zungu
10.Kiwi
11.Putini
13.Osama
15. Chidi
16. Bigi
17.Tupaki

Ongesea mengine ..........
 
Namba 1 na 8 ni hatari sana
 
Jiwe
 
Hobama
Hali
Hamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…