Majina ya second selection

Hii imekaaje wadau wanatangaza kuanza kwa uombaji wa vyuo awamu ya TATU bila kutoa majina ya waombaji awamu ya pili?
 
isue ya selection second round ni pasua kichwa ukiwapigia chuoni wanasema Tcu ndiyo wanatangaza Tcu nao wanasema majina wameshatuma vyuoni..dirisha la 3 linaisha leo yaani nchii hii kweli Ndalichako na Jpm hawana la kuwafanya Tcu janja janja nyingi.
 
Reactions: J26
angalien account zenu wamewajibu kasoro udom and mzumbe ndio bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…