Tata ya bana
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 304
- 369
"Marekani" kutokana na dada mmoja aliyeitwa maria khanWakuu, moja ya aim za JF ni kuelimishana, sasa naomba kila mmoja mwenye kuelewa jina la eneo na maana yake atupie humu.
Naanza mimi, Upanga iliyopo Dar es salaam ilitokana na picha ya Upanga iliyopo kwenye HQ ya JWTZ.
Tuambie na wewe yako!
Hii maana nliisikia juzi kwa mara ya kwanza
Nakusubiri ukirudi nitag1.Tabora = Matobolwa yaani viazi vitamu vilivyohifadhiwa kwa kukatwa, kuchemshwa na kuanikwa
2. Moshi = Msikiti kwa Kijerumani
3. Morogoro = Mlio wa Maporomoko ya maji
4. Kibaya (hq ya Kiteto) = Umefika
5. Manyara = Minyaa
6. Maji ya Chai = Maji yenye rangi ya chai
7. Kilimanjaro = Kilimakyaro
8. Dodoma = Idodomywa (kuzama)
9. Mtwara = Kutwaa (kuchukua). Mfalme mmoja alikuwa akichukua wanawake wazuri na kuwafanya wakeze bila kujali ni mke wa mfuasi wake au la.
10. Lindi = Bonde (lindi la maji). Mji uko chini ya usala wa bahari.
11. Mwananyamala = Mtoto Nyamaza
Ntarudi Baadaye
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipenda hiiMzizima - mji wenye uzima/afya (Zaramo)
Dar es salaam - nyumba ya
amani /Pepo (Arabic-Quran)
Mwananyamala- mtoto nyamaza.(Kizaramo)
Kinondoni- kwenye kinundu (Kizaramo)
Kimara- kimeisha (Kizaramo)
Kiwalani Kiwanjani- (Kizaramo)
Kibaha - kipo (Kizaramo)
Kariakoo - carrier corps (Kiingereza)
Bagamoyo- Bwaga-moyo (Kiswahili)
Ubungo - Bungo
Nilikuwa sijui maana ya kimara, na kinondoni !Mzizima - mji wenye uzima/afya (Zaramo)
Dar es salaam - nyumba ya
amani /Pepo (Arabic-Quran)
Mwananyamala- mtoto nyamaza.(Kizaramo)
Kinondoni- kwenye kinundu (Kizaramo)
Kimara- kimeisha (Kizaramo)
Kiwalani Kiwanjani- (Kizaramo)
Kibaha - kipo (Kizaramo)
Kariakoo - carrier corps (Kiingereza)
Bagamoyo- Bwaga-moyo (Kiswahili)
Ubungo - Bungo
Marekani au America inatokana na jina la mvumbuzi wa bara hilo aliyeitwa Amerigo Vespucci."Marekani" kutokana na dada mmoja aliyeitwa maria khan
"Marekani" kutokana na dada mmoja aliyeitwa maria khan
Mzizima - mji wenye uzima/afya (Zaramo)
Dar es salaam - nyumba ya
amani /Pepo (Arabic-Quran)
Mwananyamala- mtoto nyamaza.(Kizaramo)
Kinondoni- kwenye kinundu (Kizaramo)
Kimara- kimeisha (Kizaramo)
Kiwalani Kiwanjani- (Kizaramo)
Kibaha - kipo (Kizaramo)
Kariakoo - carrier corps (Kiingereza)
Bagamoyo- Bwaga-moyo (Kiswahili)
Ubungo - Bungo