Majina ya dada zetu mtaani.

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Wanajf mtaani huwa nakutana na haya majina dada zetu wanaitwa.
Demu
manzi
mtoto
kitoga
sukari.....
Ebu ongezea ya kwako.
 
asante Lizzy. . . .
Na mtoa mada pia.
 
Last edited by a moderator:
Mlupo
Muuza utumbo
Shori
 
mh mi napita tu hapa, kwetu uzunguni sa utasikia..
bby
hun
cwt
choclat
vanilla
flwr
cjui wenzangu wa vingunguti ka ni ze same??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…